dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,340
- 16,909
Mwaka mpya umewakimbiza wengi.. haya na wewe mama fb watu 2shaanza kukumiss mamaMamaafacebook ameadimika humu ndani kama wewe tu mkuu, heri ya mwaka mpya
Mwaka mpya umewakimbiza wengi.. haya na wewe mama fb watu 2shaanza kukumiss mamaMamaafacebook ameadimika humu ndani kama wewe tu mkuu, heri ya mwaka mpya
Namuona anajiuma uma kijana mwenzangu nataka tufurahi pamoja humu [HASHTAG]#Namge[/HASHTAG] Vita chombo hii tuoe sieNamge? Sasa gbefa mbona unausemea moyo wa mtu kwani mwenyew ci yupo au ndo unamsupport
Mama ni nguzo katika familiaMwaka mpya umewakimbiza wengi.. haya na wewe mama fb watu 2shaanza kukumiss mama
Familia nyingi zikikosa mama huteterekaMama ni nguzo katika familia
Hutetereka sana tu , mama ana nafasi kubwa sana katika malezi ya familiaFamilia nyingi zikikosa mama hutetereka
Familia zina siri nyingi,familia nyingine mlo mmoja kwa siku,zingine baba kushusha kipigo kwa mama kila siku kazi ya ziada inahitajika kunusuru haya majangaMama ni nguzo katika familia
Majanga mengine hayakwepekiFamilia zina siri nyingi,familia nyingine mlo mmoja kwa siku,zingine baba kushusha kipigo kwa mama kila siku kazi ya ziada inahitajika kunusuru haya majanga
Hayakwepeki kwa nini lakinii, jamani usiku mwemaa wooote, gbefa usisale bila kupiga kitabu kidogo then usali ulaleMajanga mengine hayakwepeki
Yanavyotokea yanatokeaje kwani BBC?Hayakwepeki kutokana na jinsi yanavyotokea

..BBC imekuwa Local siku Hizi!!
Siku hizi, ili useme kitu fulani kimekuwa local, inatakiwa kiweje?..BBC imekuwa Local siku Hizi!!
Kiweje ni bonge la swali, anatumia approach gani au benchmark gani ametumia kufanya mlingano na kusema BBC change and become local, habarini za asubuhi ndugu,Siku hizi, ili useme kitu fulani kimekuwa local, inatakiwa kiweje?
Ndugu za asubui nzuri nashukuru kuona koment yako apa iyo inamaanisha uko salama pachaKiweje ni bonge la swali, anatumia approach gani au benchmark gani ametumia kufanya mlingano na kusema BBC change and become local, habarini za asubuhi ndugu,
Pacha wangu ni furaha yangu kuona umeamka salama pacha, mzee yupo proud sana nasi anatupenda sana,vipi za pande hizo pachaNdugu za asubui nzuri nashukuru kuona koment yako apa iyo inamaanisha uko salama pacha
Pacha gani msiofana? Hebu wekeni avatar ziongee zenyewe! MsitusimuliePacha wangu ni furaha yangu kuona umeamka salama pacha, mzee yupo proud sana nasi anatupenda sana,vipi za pande hizo pacha
Msitusimulie pia hadithi za uongo, muwe wa kweli basi nasi tutaweka picha zetu hapa na pacha, wewe ulishawahi nihadithia kuwa umewahi tembea kwa miguu toka Arusha mpaka Dar hebu thibitisha hapaPacha gani msiofana? Hebu wekeni avatar ziongee zenyewe! Msitusimulie
Hapa mahali pa upendo jamani yeyote anaweza kuwa pacha wa t9 au wa dem boyMsitusimulie pia hadithi za uongo, muwe wa kweli basi nasi tutaweka picha zetu hapa na pacha, wewe ulishawahi nihadithia kuwa umewahi tembea kwa miguu toka Arusha mpaka Dar hebu thibitisha hapa