Okay!!! Miss you too brother!! Nipo mpendwa vipi kuna habari gani mpyaMpendwa Dada sakayo I miss you, are you okay!?
Mpya naona hakuna maisha yanaendelea nafurahi Leo ni wikiendi nataka kwenda kunyonya nyumbani kidogo, vipi upande wako mkuuOkay!!! Miss you too brother!! Nipo mpendwa vipi kuna habari gani mpya
Mkuu leo weekend ni siku ya usafi kwa ujumlaMpya naona hakuna maisha yanaendelea nafurahi Leo ni wikiendi nataka kwenda kunyonya nyumbani kidogo, vipi upande wako mkuu
Kwa ujumla mambo yapo bien!Mkuu leo weekend ni siku ya usafi kwa ujumla
Bien kabisa, Ukienda kunyonya wasalimie sana wazee wangu huko jamaniKwa ujumla mambo yapo bien!
Huko jamani salamu zitakuwa nyingi na lazima zifike tu usijali stay safeBien kabisa, Ukienda kunyonya wasalimie sana wazee wangu huko jamani
Stay safe and happy!! Uwahi kurudi uje upige kitabu si unajua we ndo tunakutegemeaHuko jamani salamu zitakuwa nyingi na lazima zifike tu usijali stay safe
Speaking of kukomboa familia keep waliosimamishwa kazi kazi kama akina mafuru wanaishi vipi bila ķazi?Tunakutegemea sana mtoto wetu njoo ukomboe familia usimsahau Dada yako sakayo sawa!?
Sawa, naamini ukifanikiwa wewe familia yote imefanikiwa, nazidi kukuombeaTunakutegemea sana mtoto wetu njoo ukomboe familia usimsahau Dada yako sakayo sawa!?
Bila kazi ya kuajiririwa waweza ishi kwa kujiajiri pia,naamini si haba watakuwa na kamtaji ka kuanzia. Mwanzo mgumu ila watazoea tu na mambo yataenda sawaSpeaking of kukomboa familia keep waliosimamishwa kazi kazi kama akina mafuru wanaishi vipi bila ķazi?
Lawrence mafuru ana kazi ngapi?Bila kazi ya kuajiririwa waweza ishi kwa kujiajiri pia,naamini si haba watakuwa na kamtaji ka kuanzia. Mwanzo mgumu ila watazoea tu na mambo yataenda sawa
Lawrence mafuru ana kazi ngapi?
Daily tunapambana na haya maisha ee mwenyez mungu tusaidieKazi ngapi sio ishu!ishu ni kiasi gani unamake daily
Amsaidie na Harry kitilyaDaily tunapambana na haya maisha ee mwenyez mungu tusaidie
..Harry kitilya ndo nani??Amsaidie na Harry kitilya
Nani aliyekamilika? Hakuna mkamilifu, presda magufuli ni binadamu pia ana mapungufu ila pia ana mazuri yake, kama sisi ni wazalendo tupambane kufanya kazi pasipo kulalama,..Harry kitilya ndo nani??
Kulalama kutaisha endapo kila mmoja atatambua wajibu wakeNani aliyekamilika? Hakuna mkamilifu, presda magufuli ni binadamu pia ana mapungufu ila pia ana mazuri yake, kama sisi ni wazalendo tupambane kufanya kazi pasipo kulalama,
Wajibu kama wa MagufuliKulalama kutaisha endapo kila mmoja atatambua wajibu wake