goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,151
Road types which formed in Tanzania are tarmac road and rough road only.ocean road's name shifted to Barack Obama road
Road types which formed in Tanzania are tarmac road and rough road only.ocean road's name shifted to Barack Obama road
Upande wangu napambana nazo na Mungu anisaidieChangamoto ni nying sana upande wangu
Anosaidie na mimi mwanaume mwaka huu uwe wa mafanikio tele kwangu.Upande wangu napambana nazo na Mungu anisaidie
Kwangu kulala saa mbiliAnosaidie na mimi mwanaume mwaka huu uwe wa mafanikio tele kwangu.
Saa mbili ni muda wa kutizama taarifa ya habar ili kujua mambo mbalimbali yanayoendeleaKwangu kulala saa mbili
Kwangu mie nahisi faraja kuuona mwaka nikiwa mzima kabisaAnosaidie na mimi mwanaume mwaka huu uwe wa mafanikio tele kwangu.
Vipi umekula kwa wakati Leo Dada au ulivunja sheria ukapitiliza muda wa menyu... Mapambano yanaendelea Mdogo Mdogo nimetingwa kweli yani kichwa kinauma vitu lundo waki ijayo natamani isiwepo kwenye dunia maana ni shida sana.. Tupo pamoja Dada sakayo na wadau wengine wote muwe na usiku mnono wapendwa waheshimiwaNjema kwenu pia wapendwa, habari za wewe apo mdogo wangu, mapambano vipi
Kabisa Dada kikubwa uhai na uzima mengine yatafata kadiri muda utakavyokuhurusu don't give up wakuu.. Maisha ni haya haya tujitoeKwangu mie nahisi faraja kuuona mwaka nikiwa mzima kabisa
Tujitoe kufanya shughuli mbali mbali ili tujikwamue kiuchumi.Kabisa Dada kikubwa uhai na uzima mengine yatafata kadiri muda utakavyokuhurusu don't give up wakuu.. Maisha ni haya haya tujitoe
Kiuchumi Tanzania imedorora mnoTujitoe kufanya shughuli mbali mbali ili tujikwamue kiuchumi.
Kabisa tuombe mungu atulinde sote huu mwaka uwe wa neema kwetu sote kwa ujumla.Kwangu mie nahisi faraja kuuona mwaka nikiwa mzima kabisa
Tujitoe na kujituma kwa bidii, Mmeamkaje jamani muwe na asubuhi njemaKabisa Dada kikubwa uhai na uzima mengine yatafata kadiri muda utakavyokuhurusu don't give up wakuu.. Maisha ni haya haya tujitoe
Kwa ujumla naamini mmeamka salamaaKabisa tuombe mungu atulinde sote huu mwaka uwe wa neema kwetu sote kwa ujumla.
Waheshimiwa mie namshukuru Mungu nimeamka salama tena mwenye afya teleVipi umekula kwa wakati Leo Dada au ulivunja sheria ukapitiliza muda wa menyu... Mapambano yanaendelea Mdogo Mdogo nimetingwa kweli yani kichwa kinauma vitu lundo waki ijayo natamani isiwepo kwenye dunia maana ni shida sana.. Tupo pamoja Dada sakayo na wadau wengine wote muwe na usiku mnono wapendwa waheshimiwa
..Tele Afya utaIfanyia nini siku Ya leo??Waheshimiwa mie namshukuru Mungu nimeamka salama tena mwenye afya tele
Asubuhi njema pia bi sakayoTujitoe na kujituma kwa bidii, Mmeamkaje jamani muwe na asubuhi njema
Leo tumeanza na usafi wa maeneo yanayotuzunguka..Tele Afya utaIfanyia nini siku Ya leo??
Bi Sakayo amekuitika kwa moyo mmojaAsubuhi njema pia bi sakayo
Kazi njema na siku njema kwako pia mpendwabi sakayo pamoja na wengine ote muwe na weekend njema na kazi njema.