Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kitabu kipo poa mkuu na Mimi nipo poa namshukuru Allah sijui kwa upande wako siku imeendaje!?
Imeendaje, leo nilikuwa busy kidogo mkuu ila yote ni kusukuma gurudumu la maendeleo
 
Mandeleo yanaletwa kwa ufanyaji kazi kwa bidii, tukomae Dada siku moja kitaeleweka tu
Kitaeleweka tu dogo langu, na yakishakubali lazima nikutafute tukamshukuru Mungu wangu
 
Mungu ana ubaguzi wote tu sawa mbele zake imagine rich people wasingekuwa wanaingia maliwatoni sijui ingekuaje
Ingekuwaje si wangevimbiwa mkuu, wale wanapata milo sita kwa siku
 
Back
Top Bottom