Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Hali iliyopo ni kwamba pacha wangu t9 ana kipaji tena bab kubwa sio cha ubabaishaji km akina sheh yahaya full stop
"Stop" nilisikia sauti ikisema, nikajiuliza nimetekwa ama nipo chini ya ulinzi kujeuka nikamkuta pacha langu dem boy,Aiseeeehhh umenistua twin vipi umetokea wapi usiku huu? Mzee alikuwa anakutafuta sana ukachinje mbuzi, nasikia kuna ugeni nyumbani, je unalijua hilo?
 
Back
Top Bottom