Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,798
- 51,431
Tu niseme sakayo macho kodoYou too my broda, naamini mambo yatanyooka tu
Tu niseme sakayo macho kodoYou too my broda, naamini mambo yatanyooka tu
Gbefa na ojuelegba sio ndugu kweli?mbon km majina yanashabiianaSometime yes sometime no yote ni majaliwa tunashukuru kwa yote, ila tukaze sana ndugu gbefa
Mimi ni nani mpaka Mungu anijalie haya yoteMbali mbali na mambo ya kiuni nimezaliwa uswahilini lakini najitambua mimi
Kodo ndo nini tenaaTu niseme sakayo macho kodo
People km sisi ukiwemo na wewe gbefa tunaeleweka sanaGbefa, toxic9, Ukhuty, zz, mamaafacebook, aisha2016, supermarket, dem boy na Dada angu kipenzi sakayo nawaelewa sana nyie people
Limao inasaidia sana kukata cholesterol, tunapenda sana nyama choma sijuwi kama kitambi kina epukikaMaji ya uvuguvugu ni tiba ya kupunguza kitambi, ukiichanganya na ndimu au limao
Yanashabiiana lakinii hata hawajuaniGbefa na ojuelegba sio ndugu kweli?mbon km majina yanashabiiana
People gani ambaye umemsahau hapoGbefa, toxic9, Ukhuty, zz, mamaafacebook, aisha2016, supermarket, dem boy na Dada angu kipenzi sakayo nawaelewa sana nyie people
Hapo nilimsahau zamiluni zamiluni mkuuPeople gani ambaye umemsahau hapo
Kina epukika sana dogo langu, piga zoeziLimao inasaidia sana kukata cholesterol, tunapenda sana nyama choma sijuwi kama kitambi kina epukika
Yule anaweza kuwa mdogo wanguHaya yote unapata kwa sababu wewe ni mstaarabu sana kuliko yule
Umeduwaa kuona Sakayo anapanda juu ya mitiNini tena mkuu mbona umeduwaa
People gani ambaye umemsahau hapo
Mkuu na mie nimeshtuka hapoHapo nilimsahau zamiluni zamiluni mkuu
Hapo labda nameless girl mungu anawaona nyie people kwa kumsahau huyu em tuwe siriaz what hell happen to these guysPeople gani ambaye umemsahau hapo