Anna Leonard
JF-Expert Member
- Jan 30, 2016
- 219
- 118
Jukwaa hili ni la watu makini
Jukwaa hili sio Siri limekimbiwa na malegendare hadi ukhuty?we supermarket rudi mungu anakuona ulipo km ni majanga akuepusheMamaafacebook, Ukhuty, Zz, supermarket wamelikimbia jukwaa
Jukwaa la wakubwa kule nimewaona mamaafacebook, Ngalikihinya, atug hawa jamaa wamekimbia jukwaa letu la jokesMamaafacebook, Ukhuty, Zz, supermarket wamelikimbia jukwaa
Akuepushe na mabaya yote wewe supermarket ukuje salamaa, na kama ni wifi kakufungia Mungu anamuonaJukwaa hili sio Siri limekimbiwa na malegendare hadi ukhuty?we supermarket rudi mungu anakuona ulipo km ni majanga akuepushe
Makini saana wenye ufikiri wa pekeeJukwaa hili ni la watu makini
Mno yani mnoMaliwato paheshimiwe mno
Jukwaa letu la jokes linapwaya bila uwepo wao, ila tupambane tu Ushindi tunaukaribiaJukwaa la wakubwa kule nimewaona mamaafacebook, Ngalikihinya, atug hawa jamaa wamekimbia jukwaa letu la jokes
Mno na wewe ndo sentensi gani hiyoMno yani mno
Makini sana, ukiwa kwenye huu uzi lazima utakuwa unajua kucheza na vinaJukwaa hili ni la watu makini
Vina vyake havifananiMakini sana, ukiwa kwenye huu uzi lazima utakuwa unajua kucheza na vina
Hiyo inaitwa kukazia dogoMno na wewe ndo sentensi gani hiyo
Wangu Dada usijali tupo pamoja kama samaki na maji usijali itakuwa tu, much respect to youKitaeleweka tu dogo langu, na yakishakubali lazima nikutafute tukamshukuru Mungu wangu
Dogo tena, we ni changamotoHiyo inaitwa kukazia dogo
You too my broda, naamini mambo yatanyooka tuWangu Dada usijali tupo pamoja kama samaki na maji usijali itakuwa tu, much respect to you
Changamoto tena, we ni maji ya vuguvuguDogo tena, we ni changamoto
Sometime ni afadhali kupitia changamoto ili akili iweze kupambanua mambo kwa namna mbali mbaliChangamoto zinachochea akili kufanya kazi isivyo kawaida na zinachosha sometime
Maji ya uvuguvugu ni tiba ya kupunguza kitambi, ukiichanganya na ndimu au limaoChangamoto tena, we ni maji ya vuguvugu
Sometime yes sometime no yote ni majaliwa tunashukuru kwa yote, ila tukaze sana ndugu gbefaChangamoto zinachochea akili kufanya kazi isivyo kawaida na zinachosha sometime