Anna Leonard
JF-Expert Member
- Jan 30, 2016
- 219
- 118
Mabaya hayafai kuigwa...toxic9Yake Anna leonard ni mengi mazuri kuliko mabaya
Mabaya hayafai kuigwa...toxic9Yake Anna leonard ni mengi mazuri kuliko mabaya
Ntakutwanga usipoendana na kasi ya Magufuri
Toxic9 ni mtu maarufu sana hapa jfMabaya hayafai kuigwa...toxic9
4change it will prosperMagufuri 4change
Sakayo mie kipaji changu ni kupanda juu ya miti mkuuKipaji hicho mkuu, Mungu ametupatia wanadamu vipawa mbalimbali, wewe chako ni kipi sakayo![]()
![]()
![]()
Toxic9 anajali utu na upendo zaidi kuliko chochote, tupendane mazee kuliko chochote, utu, upendo ndiyo NGAO ya mafanikio vingine vitafuata.Mabaya hayafai kuigwa...toxic9
Vitafuata kutoka wapi, simama kimbia kayatafute mafanikioToxic9 anajali utu na upendo zaidi kuliko chochote, tupendane mazee kuliko chochote, utu, upendo ndiyo NGAO ya mafanikio vingine vitafuata.
Jf imenikutanisha na watu muhimu na wazuri sana mithili yako mpendwa Aishah2016, nimekuwa na marafiki wengi sana, tumshukuru sana co_founder Maxence, # freeMaxenceToxic9 ni mtu maarufu sana hapa jf
Mkuu hahahaha unatafuta nini kwenye mitiSakayo mie kipaji changu ni kupanda juu ya miti mkuu
Mafanikio kuyatafuta sio vita bali hekima na busara pia vinahitajika, lasivyo utaua, utatoa watu roho wasio na hatiaVitafuata kutoka wapi, simama kimbia kayatafute mafanikio
Miti ninayopanda ni ya maparachichi na matunda damuMkuu hahahaha unatafuta nini kwenye miti
Hati ya nini sasa, ya nyumba au kiwanjaaMafanikio kuyatafuta sio vita bali hekima na busara pia vinahitajika, lasivyo utaua, utatoa watu roho wasio na hati
Damu yako ni group gani?Miti ninayopanda ni ya maparachichi na matunda damu
Kiwanja cha mpira kina ukubwa wa kiasi gani?Hati ya nini sasa, ya nyumba au kiwanjaa
Kiasi gani eti mwenyewe sio muumini wa mpiraKiwanja cha mpira kina ukubwa wa kiasi gani?
Group gani zaidi ya B+Damu yako ni group gani?
Kia ni kiwanja cha kimataifa, habari za wewe mkuu pole na kitabuKiwanja cha ndege cha songwe ni cha kiwango cha kimataifa kama cha Kia
Kitabu kipo poa mkuu na Mimi nipo poa namshukuru Allah sijui kwa upande wako siku imeendaje!?Kia ni kiwanja cha kimataifa, habari za wewe mkuu pole na kitabu