Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Mchezo wa kidedea mnaukumbuka?Hayo maumivu ya jeshi sio mchezoo
Mchezo wa kidedea mnaukumbuka?Hayo maumivu ya jeshi sio mchezoo
kilimanjaro ni mlima, upo Tanzania ila unatangazwa sana na KenyaMoshi ipo mkoa wa Kilimanjaro
Kenya ni nchi jiranikilimanjaro ni mlima, upo Tanzania ila unatangazwa sana na Kenya
Watoto wengi tulikuwa tunaenda kuuangalia kwenye nyumba za watu kipindi icho TV chache sanaMnaukumbuka huo mchezo ulivyokuwa ukikusanya watoto wengi?
Sana nimewamissWatoto wengi tulikuwa tunaenda kuuangalia kwenye nyumba za watu kipindi icho TV chache sana
Nimewamiss na mm pia, heri ya mwaka mama FacebookSana nimewamiss
Facebook unatumia id gan?Nimewamiss na mm pia, heri ya mwaka mama Facebook
Gan situmii FacebookFacebook unatumia id gan?
Gani zaidi ya hii ya jf?Facebook unatumia id gan?
Jf pekee itakuwa uwongo lazma fb itakuwepoGani zaidi ya hii ya jf?
Itakuepo mda wa Kutangaza mshindi??Jf pekee itakuwa uwongo lazma fb itakuwepo
Mshindi si ndo mimi?Itakuepo mda wa Kutangaza mshindi??
Mimi ni mzima wa afyaMshindi si ndo mimi?
Facebook nilikua naipenda Sasa hivi siipendiGan situmii Facebook
Jf Niko juzi Jana na leoGani zaidi ya hii ya jf?
Leo kweli nakuona , bundle lako sio lamawazoJf Niko juzi Jana na leo
Lamawazo sjui naitungiaje sentensiLeo kweli nakuona , bundle lako sio lamawazo
Sentensi zake nyingi sana, hujaamua tu kulitumia vemaLamawazo sjui naitungiaje sentensi