Gbefa amebadili avatar, hongera mkuuUkhuty mpe darsa kidogo gbefa
Mkuu avatar iliyopita imenichosha kwa kweli naonekana mtoto au kijana ambaye sijutambuiGbefa amebadili avatar, hongera mkuu
Sijutambui!!!hahahaaa hizi smatphones zitatuletea kreoli mpyaMkuu avatar iliyopita imenichosha kwa kweli naonekana mtoto au kijana ambaye sijutambui
Sijitambui au hujitambui mkuu avatar kwa kweli husema sie ni akina nani hata kama twatumia majina feki, hongera kwa kuliona hilooMkuu avatar iliyopita imenichosha kwa kweli naonekana mtoto au kijana ambaye sijutambui
Kabisa tuwajibike kufanya kaziKreoli mpya wanazuoni wa kiswahili na TUKI hawawezi kuzikubali kabisa
Kufanya kazi kwa bidii ndo kitu tulichoagizwaKabisa tuwajibike kufanya kazi
Kabisa ndo ukakata kichwa cha iyo avatarKreoli mpya wanazuoni wa kiswahili na TUKI hawawezi kuzikubali kabisa
Avatar ya mkuu supermarket huwa inanikosha sana..Kabisa ndo ukakata kichwa cha iyo avatar
Sasa Goldie hayo ni mawazo yako.Sana sana avatar yangu ndio nzuri kuliko zote humu jf ndio nisasema sasa.
Kwao wanaona ni sifa kumbe mwisho wake hasaraWanaangamia kwa madawa ya kulevya na kupenda anasa zisizo na faida kwao
Maarifa ambayo yangewasaidia katika maishawanaangamia kwa kukosa maarifa
Yangu ni ya ukweli gbefa sema nimetoamo sura tuAvatar hii sijui na yenyewe nitoe tu niweke ya uongo kama ya sakayo Ila ya Aisha2016 hii yako ya kweli kama yangu
Sana ile ya supermarket waweza iotaAvatar ya mkuu supermarket huwa inanikosha sana..