Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Huyo basi anakufaa sana ngoja na Mimi nianze kutafuta wangu mapema maana tangu kidato cha NNE kitambo sana
Sana pambana mkuu, wako utamtengeneza wewe Mwenyewe ndugu. Hiyo avatar yako imenikumbusha machungu
 
Ngada tamu ndio nini kwani ndugu zangu
Zangu mie ni kula unga,
Ngada maana yake ni madawa ya kulevya,
Naomba mniombee kwa mungu niache hii ngada.....

[emoji381] [emoji382] [emoji382]

[emoji17] [emoji31] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji120] [emoji120]
Ngada tamu ndio nini kwani ndugu zangu
Zangu mie ni kula unga,
Ngada maana yake ni madawa ya kulevya
 
Back
Top Bottom