Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Ndugu yake mie mimi ni jike la mbegu, nakukubali pia ila hilo jina lako ka sumu vile ila maziwa ninayo
Ninayo sababu ya kusema nakukubali mtu wangu, maana sakayo ni mtu wa watu, ila sakayo yani wewe kiboko siku zote najuwa wewe ni ME jamani, nimefurahi kujuwa jinsia yako, mwaka mpya unaukaribishia wapi???
 
Wapi zaidi ya kujifungia ndani huku kwetu panya road naskia wanataka kulipiza kisasi leo coz hii miezi miwili iliyopita walikiona cha mtema kuni kutoka kwa raia wenye hasira kali
 
Kali ya mwaka, kuna watu wanajifanya scorpion wana toboa watu macho na kuwakata na visu muweni macho TZ imebadilika watu hawaogopi tena kuvunja sheria
 
Back
Top Bottom