Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Ustaarabu ni muhimu, nimekukwaza Blaki Womani ?Yetu yale unatakiwa kwa ustaarabu
Ustaarabu ni muhimu, nimekukwaza Blaki Womani ?Yetu yale unatakiwa kwa ustaarabu
Yako maneno kayaona ntambutuaMamaafacebook unamuona toxic9 anataka kuchukua no yako bila idhini yako??
Yako naipata kwa idhini yako bila shakaMamaafacebook unamuona toxic9 anataka kuchukua no yako bila idhini yako??
Namna ya serikali inavyo jipanga kutoa huduma kwa jamii yake ni mikakati mizuri sana, nampongeza sana waziri mkuu majaliwaSentensi utatunga tu hakuna namna
Kwanza pesa yenyewe tatizoIjumaa hiyoooooo Swadakta, au unapata urojo kwanza
Tatizo sawa ila mbele ya nyau pesa itapatikana tuKwanza pesa yenyewe tatizo
Mungu anatoshaNdumba situmiii namuamini Mungu
Anatosha kuvumilia maovu yetu
Majaliwa yatakiwa kupata suluhu ya magufuliNamna ya serikali inavyo jipanga kutoa huduma kwa jamii yake ni mikakati mizuri sana, nampongeza sana waziri mkuu majaliwa
Mapema umeanza mbwembwe![]()
![]()
nimeusoma mchezo mapema
Anatosha katika kila jambo tunalokusudia kulifanya maishani mwetuMungu anatosha
Shukrani sanaaaaaaaa naomba mwambie anitafte nilipoteza nambakeNisalimie nawe T.A ntampa salaam In Shaa Allah.
Shukran.
Mbwembwe za nini wakati usawa huu ni shida, hela hakuna watu wanajisahau hichi kipindi sio cha jk, kipindi hichi ni zama za ubailiMapema umeanza mbwembwe
Ubahili ni mbaya kua naoMbwembwe za nini wakati usawa huu ni shida, hela hakuna watu wanajisahau hichi kipindi sio cha jk, kipindi hichi ni zama za ubaili
Faru john unamjuwa wewe? Ulishamuona???ubahili ulimuua faru john