Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Habari wanaJF,

Nnaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.

Mfano:

Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi

Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku

Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio

Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari

Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)
Hivi ulianzisha hi thread nakupotea?
 
Wewe hata nikiadimika jua nakupenda tu mamaafacebook

Mimi mzima sana tu mkuu ila nimezongwa na upweke unaofanya nikukumbuke picha yako usoni inanifanya chozi linitoke.
Linitoke janga hili linalonikumba usoni me nimeolewa tayari name msukuma mmoja ndugu yakem@kituko
 
Zaidi ya yote bado siku moja tuoone mwaka mpya 2017
IMG_20161230_224654_095.JPG
 
Back
Top Bottom