Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Nyundo hiii hii kifaa cha ujenzi???Haijaingia igongelee na nyundo
Nyundo hiii hii kifaa cha ujenzi???Haijaingia igongelee na nyundo
Mamushika na mamushka Kuna tofauti ganSawa sawa mamushika
Umepona ugonjwa unaonisibu kiasi Nina nafuuu mme wangu hajamboNajiamini pia kuwa na shemeji kama wewe, umepona?
Ujenzi?? Nan amejenga ule ukuta unaotaka kudondokaNyundo hiii hii kifaa cha ujenzi???
Hajambo, ndio alikuwa na hofu, analalamika namba zako zote hazipatikani alikuwa anataka akupe poleUmepona ugonjwa unaonisibu kiasi Nina nafuuu mme wangu hajambo
Pole yake maskini sjazima sim mm na namba sijampa labda nikupe umpe leoHajambo, ndio alikuwa na hofu, analalamika namba zako zote hazipatikani alikuwa anataka akupe pole
Pole yake maskini sjazima sim mm na namba sijampa labda nikupe umpe leo
Kabisa unaniambia? Ntakupatia usihofNipe tu, nimpe maana hana amani na hali yako kabisa
Usihofu nn wkt hali inajionyesha???Kabisa unaniambia? Ntakupatia usihof
Gani ni neno gumu sana kutungia sentensi,Mamushika na mamushka Kuna tofauti gan
Leo hii nami ukiipata namba kituko nami nitumie nimtafute mamaafacebookPole yake maskini sjazima sim mm na namba sijampa labda nikupe umpe leo
Inajionyesha?? KivipiUsihofu nn wkt hali inajionyesha???
Sentensi utatunga tu hakuna namnaGani ni neno gumu sana kutungia sentensi,
Mama Facebook hagawi tena nambaLeo hii nami ukiipata namba kituko nami nitumie nimtafute mamaafacebook
Mamaafacebook unamuona toxic9 anataka kuchukua no yako bila idhini yako??Leo hii nami ukiipata namba kituko nami nitumie nimtafute mamaafacebook
Yetu yale unatakiwa kwa ustaarabuZaidi kama umetupia na yale mambo yetu
Kabisa kabisa tuseme mnauziana mbuzi kwenye guniaNipe tu, nimpe maana hana amani na hali yako kabisa
Uje mitaa ya kwetu next week kusheherekeaUnachoumwa hakijulikani ntakufundisha kutumia ungo uje
Kusherehekea nn au unaolewa?Uje mitaa ya kwetu next week kusheherekea