Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Ufisadi nchini hautakwisha, ona mahakama ya mafisadi ilivyoanzishwa kwa mbwembwe leo hii eti haina wa kuwashitakiNi serikali ipi itakuja kuutokomeza ufisadi nchini
Ufisadi nchini hautakwisha, ona mahakama ya mafisadi ilivyoanzishwa kwa mbwembwe leo hii eti haina wa kuwashitakiNi serikali ipi itakuja kuutokomeza ufisadi nchini
Kwako mbali ningekuja kukusalimu kipindi hiki unachoumwaTalaka akipewa atahamia kwako
Usalama barabarani kipindi hiki cha kufunga mwaka unatakiwa kwa karibu zaidiKwako kuna usalama?
Wengi wamealikwa kwenye sherehe za mwaka mpya kwenye bwalo la PoliceKutosha ina maana ulikunywa nyingi sana, kumbe wakina kitwanga mpo wengi
Bwalo la police! Siwezi kwenda kwenye sherehe hizo maana hawakawii kukukamata hukohukoWengi wamealikwa kwenye sherehe za mwaka mpya kwenye bwalo la Police
Ukweli humuweka mtu huruWewe mimi sina visa, ila naongea ukweli.
Nchini kwa sasa vuguvugu za kisiasa zimepunguaNi serikali ipi itakuja kuutokomeza ufisadi nchini
Mtu huru siku zote huwa makini na hana hofu kwenye maongezi na mambo yakeUkweli humuweka mtu huru
Nchini mwetu ufisadi umeanza kutokomea jitihada zinaoneka, mahakama ya mafisadi hii italeta tija, pia wakurugenzi wengi taasisi mbalimbali wanatumbuliwa zote hizo ni jitihada za serikali, je mnataka nini tena??Ni serikali ipi itakuja kuutokomeza ufisadi nchini
Tatizo linaanzia hapoTatizo sio kumaliza tatizo, tatizo namna ya kulikabili tatizo
Tatizo ndio linaanzia hapo
Hapo ulipo msalimie shemeji, mwambie asile peke yake urojoTatizo linaanzia hapo
Wako kwanza wangu baadaeSwadakta wewe ni mpemba, nasikia wapemba mnajuwa sana kupika, na mnayajuwa sana mapenzi, naomba uthibitisho wako
Zaidi kama umetupia na yale mambo yetuUsalama barabarani kipindi hiki cha kufunga mwaka unatakiwa kwa karibu zaidi
Baadae wapi sasa, Weekend imeanzaWako kwanza wangu baadae
Mambo yetu huyaweziZaidi kama umetupia na yale mambo yetu
Imeanza eeeh! Kumbe leo ijumaa,?Baadae wapi sasa, Weekend imeanza
Sana na siwezi kuibiwa najiaminiMpenzi lazima umshike, asije chukuliwa na wana JF maana ni wajanja sana
Ndumba situmiii namuamini MunguNao wanakupenda, ila punguza ndumba