Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,711
- 51,061
Nilikuwepo na wewe si eti???Haikuwepo ila mm nlikuwepo
Nilikuwepo na wewe si eti???Haikuwepo ila mm nlikuwepo
Sikukuona ila wanawake mlikuwa wachache,Ww ulikuwa wap mbona ckukuona
Mwezi huu kabla haujaisha kuna birthday ya mtuAnaumwa nini tena jamani, au tarehe zenu zile za mwezi
Umekwisha mamaafacebook kama usiku wa leo upo peke yako msukuma hayupo sijuwi nani atakupa rahaMwezi umekwisha
Mtu mwenyewe ni mimi si eti diaMwezi huu kabla haujaisha kuna birthday ya mtu
Eti wasema ?Nilikuwepo na wewe si eti???
Wasema mimi eti sikuwepo BC my dia? Situlikuwepo jamaniEti wasema ?
Raha najipa mwenyewe singoji kupewaUmekwisha mamaafacebook kama usiku wa leo upo peke yako msukuma hayupo sijuwi nani atakupa raha
Si eti? mm ckukuona mbonaNilikuwepo na wewe si eti???
Mbona baada ya kuniona ulipita kando!Si eti? mm ckukuona mbona
Mbona baada ya kuniona ulipita kando!
Nyoka nawaogopa sanaKando kando ya mtaro kuna nyoka
Kupewa ni muhimu mkuu, ukijipa mwenyewe kila kitu hutaweza mkuuRaha najipa mwenyewe singoji kupewa
Amekufaje? Ulimuua ehh, basi utatuambia faru john yupo wapi,Kando ya barabara alikutwa nyoka amekufa
Mbona huna kumbukumbu hivyo,Si eti? mm ckukuona mbona
Huu muda ni wa kujifungia ndani sheheWAP unaenda muda huu
Mkuuu unanfrahisha wapi KitukoKupewa ni muhimu mkuu, ukijipa mwenyewe kila kitu hutaweza mkuu