kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,997
- 2,577
Nani kama MimiShilole ndio nani
Nani kama MimiShilole ndio nani
Yanawashinda kwa kuwa upendo haugawanyiki pande mbili, moyo una chemba za kumhifadhi mtu mmoja tu nimeelewa mpaka naumwa,Jamani mambo ya wawili wengi yanawashinda
Siyawezi au sizitaki mbichi hiziYanawashinda mie nikiwa mmoja wapo... Mambo ya uke wenza siyawezi
Naumwa!!? mi mzima banaaYanawashinda kwa kuwa upendo haugawanyiki pande mbili, moyo una chemba za kumhifadhi mtu mmoja tu nimeelewa mpaka naumwa,
Banaae tuachane na stori za kuumwa, leteni mchongo wa helaNaumwa!!? mi mzima banaa
Hizi mbichi sili,napenda zilizoivaSiyawezi au sizitaki mbichi hizi
Mchongo wa hela unalipiwa, hauwezi kuletwa kimawenge hivyoBanaae tuachane na stori za kuumwa, leteni mchongo wa hela
yamekaba haswa...tunakoelekea tutashindwa kupumua!Yako ndoa ipo hatiani mke/mume anataka vizuri Christmas wakati huu mambo yamekaba
Kupumua utapumua ila cha moto utakionayamekaba haswa...tunakoelekea tutashindwa kupumua!
utakiona wewe zaidi maana naona ushaanza kumfunga mkeo kamba za viatu!Kupumua utapumua ila cha moto utakiona
Kamba za viatu ni ndefu zaidiutakiona wewe zaidi maana naona ushaanza kumfunga mkeo kamba za viatu!
Zaidi ya kupumzika leo sina la ziadaKamba za viatu ni ndefu zaidi
Viatu vifupi sijazoea napenda magongoutakiona wewe zaidi maana naona ushaanza kumfunga mkeo kamba za viatu!
yanakutosha??unamuuliza swali gani wakati yeye ndo anavyovaa!..magongo Yanakutosha??
Zilizoiva unapenda ehhh senene unatuma lini muda nao unakimbia tuzile x-mass banah, au unachepuka mwanawane maana humu sakayo, gbefa sijuwi supermarket sio vijana wazuri watakupotezaHizi mbichi sili,napenda zilizoiva