kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,997
- 2,577
Saana Sana ataachika tu.Mungu ni mwema, hatimae pamekucha tena salama. Vipi ndugu zangu mmeamshwaje!!! Miss nyie saana
Saana Sana ataachika tu.Mungu ni mwema, hatimae pamekucha tena salama. Vipi ndugu zangu mmeamshwaje!!! Miss nyie saana
Ataachika tu kwa sababu ipi tenaSaana Sana ataachika tu.
tena nasikia sio mwaminifuAtaachika tu kwa sababu ipi tena
Mungu hapendi kuona wanadamu tunatenda dhambi, shetani ndiyo kazi yake kuu ya kutuhadaaAnatushangaa vipi wakati yeye ibilisi ndo ametuhadaa mpaka tunamkosea Mungu
Anatushanga nini tena shetani, lazima ashangae kwa kuwa wanadamu wamemrudia mwenyezi Mungu na kutii amri za Mungu bila shurutiDhambi zimekua nyingi had shetani anatushangaa
Saana mwana sakayo hata sisi tumekukumbuka, ahead kuna ka break karefu ka sukukuu mpaka raha, ila zaidi tuna kumbuka kuzaliwa kwa bwana yetu yesu kristo, nikisema kristo sema tumaini letuMungu ni mwema, hatimae pamekucha tena salama. Vipi ndugu zangu mmeamshwaje!!! Miss nyie saana
Tena nasikia ni mchonganishi sana, ashindwe na alegee katika jina la yesu KristoAtaachika tu kwa sababu ipi tena
Tumaini letu Kristo ni salam ya Kikatoliki kwa wanao AminiSaana mwana sakayo hata sisi tumekukumbuka, ahead kuna ka break karefu ka sukukuu mpaka raha, ila zaidi tuna kumbuka kuzaliwa kwa bwana yetu yesu kristo, nikisema kristo sema tumaini letu
Kristo alikufa Kristo alifufuka atakuja tena.Tena nasikia ni mchonganishi sana, ashindwe na alegee katika jina la yesu Kristo
Amini Amini nawambia wale wasio na dini Mungu anawaona anawaacha mjirekebishe kabla hamjaenda motoni siku ya kuondoka dunianiTumaini letu Kristo ni salam ya Kikatoliki kwa wanao Amini

Tena tunamsheherekea kesho kutwa chrismassKristo alikufa Kristo alifufuka atakuja tena.
Duniani kuna viumbe wengi sana, wengine bado hawajagundulika na wanasayansiAmini Amini nawambia wale wasio na dini Mungu anawaona anawaacha mjirekebishe kabla hamjaenda motoni siku ya kuondoka duniani![]()
![]()
Mungu anakuona halafu WE supermarket uliyotufanyia jana kutuacha ukatimuka na Ukhuty, ila tuliendeleza kula good time, mamaafacebook hakuwa vizuri jana, ila black womani na atug tuliendelea kupata mishikakiAnatushangaa vipi wakati yeye ibilisi ndo ametuhadaa mpaka tunamkosea Mungu
Yako imani inamshinda shetani?? Hakikisha shetani hana nafasi kwako ndani ya maisha yako.Amini katika imani yako
Tena kesheni mkiomba maana majaribu ni makubwa sanaKristo alikufa Kristo alifufuka atakuja tena.
Wanasayansi wanasema chanzo cha uumbaji wa mwanadamu ulianzia kwenye cell, je unayasadiki hayo??Duniani kuna viumbe wengi sana, wengine bado hawajagundulika na wanasayansi
Tena baby nimekumis umeamkaje kwanza mtumishi wa Mungu, huko kwenu wazima mpendwaKristo alikufa Kristo alifufuka atakuja tena.
Mpendwa humu tena una baby... Kweli hii huo and me till death inaanza kutokuleta maanaTena baby nimekumis umeamkaje kwanza mtumishi wa Mungu, huko kwenu wazima mpendwa
maana ipi kwako nzuriMpendwa humu tena una baby... Kweli hii huo and me till death inaanza kutokuleta maana