supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Mishkaki ya jana ilikuwa mitamu sana mkuu toxicMungu anakuona halafu WE supermarket uliyotufanyia jana kutuacha ukatimuka na Ukhuty, ila tuliendeleza kula good time, mamaafacebook hakuwa vizuri jana, ila black womani na atug tuliendelea kupata mishikaki