Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Hiyo ya kuja kujipikilisha sie wageni sio mpango kabisa yani, fanya utaratibu wa kupata wapishiAti utakuwa kwa dar ahh basi x-mass itaenda vizuri wachaaa, ila siwezagi kupika chakula cha wengi, sasa mje hakuna namna mpike wakina mamaafacebook, sakayo, gbefa, supermarket, mzee wa T 199O ElY, black womani, zamaulid,rahabu x mass hiyooooo
id, halafu from there ndiyo tuambiane real names