Wewe unanionaje, pikipiki inaweza kunikimbiza na isinipate hata kidogoKukimbia una mbio wew
Noma sana pale anapomzunguka demu waliolelewa wote tangu utoto na hakumjua wakati anampenda, akifanya kazi na baba yake dem kazi ya polisiKukimbia kama usain bolt au yule jamaa wa movie ya the flash ni noma sana
Chura alienona ana raha yake kumtazama tu, unasafisha nyotaKidogo nianguke Leo nilikuwa nashangaa chura
Asubuhi nilikunywa maji glass moja kabla sijakula chochoteNyota njema uonekana asubuhi
Chochote niniAsubuhi nilikunywa maji glass moja kabla sijakula chochote
Nini maana ya chochoteChochote nini
chochote utakacho ambulia tugawane ..!!Nini maana ya chochote
Tugawane na izo six pack zamilunichochote utakacho ambulia tugawane ..!!
zamiluni yuko vizuri ila mida hii anatukimbiagaTugawane na izo six pack zamiluni
mshahara wa dhambi mautiAnatukiambiaga akishapata mshahara
Dhambi zimekua nyingi had shetani anatushangaaMauti na mshahara wa dhambi
Anatushangaa vipi wakati yeye ibilisi ndo ametuhadaa mpaka tunamkosea MunguDhambi zimekua nyingi had shetani anatushangaa
Mungu ni mwema, hatimae pamekucha tena salama. Vipi ndugu zangu mmeamshwaje!!! Miss nyie saanaAnatushangaa vipi wakati yeye ibilisi ndo ametuhadaa mpaka tunamkosea Mungu