Stand up sit down
Download nyimbo ya psquareStand up, sit down
Psquare? Hivi bado wapo kwenye muziki?!Download nyimbo ya psquare
Psquare wanamusic wa NaigeriaDownload nyimbo ya psquare
Muziki wao upo walikuwa na mgogoro wa kindugu ila kila kitu kilikaa poa na sasa wananyimbo ipo sokoni inachezwa sana kwenye tv na redioPsquare? Hivi bado wapo kwenye muziki?!
Nigeria wapo vizuri kwenye mziki, wanafanya vizuri na wana masupastaa kibao kama kina wizikid na davidoPsquare wanamusic wa Naigeria
Betrii ya tiger au national, kama vipi kachukue betrii za kwenye tochiRedio yangu haina betr
Davido aliyeimba na diamond...??Nigeria wapo vizuri kwenye mziki, wanafanya vizuri na wana masupastaa kibao kama kina wizikid na davido
Daimond alitangazwa kimataifa kwenye nyimbo ya number one remix, collabo ambayo alitakiwa kufanya ommydimpoz kwa dola3,000 lakini daimond akachakachua kulipia dola 5000 na kuifanya yeyeDavido aliyeimba na diamond...??
Yeye ndio mjanja sasa....Daimond alitangazwa kimataifa kwenye nyimbo ya number one remix, collabo ambayo alitakiwa kufanya ommydimpoz kwa dola3,000 lakini daimond akachakachua kulipia dola 5000 na kuifanya yeye
Wenyewe tumekustukia umeanza kula kona, acha niwalipie kwa moyo mkunjufuKila mtu mtu kwanza aagizie anachotaka ale na anywe, halafu mtalipa wenyewe
Kiasi gani vile oh ni kama million kumi mdhamanaAmedhaminiwa kiasi gani
Mdhamana hakuna naskia kwa sasaKiasi gani vile oh ni kama million kumi mdhamana
Sasa alivyofanya sio vizuri kumfanyia mwenzakeYeye ndio mjanja sasa....
Mwenzake hana habari anasonga mbeleSasa alivyofanya sio vizuri kumfanyia mwenzake
Mbele kwa mbele inatumiwa sana na mafisiemMwenzake hana habari anasonga mbele
Mbele ya nyumba kuna mti wenye kivuliMwenzake hana habari anasonga mbele
Kivuli cha mzungu ni cheusi pia.Mbele ya nyumba kuna mti wenye kivuli
Pia ikifika usiku kivuli chako pia kina kukimbiaKivuli cha mzungu ni cheusi pia.