supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Taarifa ya habari ITV sijui imeshaanza tayariDisco mlangoni hapo kuna kelele mimi nipo huku naangalia taarifa ya habari mwandishi lihundi kaachiwa kwa dhamana ni habari iliyowagusa watu wa Arumeru, sasa baby hapo upo na nani, njoo huku tuangalie wote taarifa ya habari