mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Mamaafacebook Leo hajisikiii vizuriKuyajua ni vyema au hukumbuki Network imekata mamaafacebook
Mamaafacebook Leo hajisikiii vizuriKuyajua ni vyema au hukumbuki Network imekata mamaafacebook
Yapi n madhara ya huu Uzi kutofika mwishoMaamuzi sahihi ni yapi
Mwisho wake siyo tija, tija ni kwenye kuhabarishana mambo current yanayotoke kwa taifa letu, madhara ni machache kuliko faidaYapi n madhara ya huu Uzi kutofika mwisho
Mayai ni moja ya vyakula vyenye viini lishe muhimu kwa ajili ya afya ya mwili wa binadamu.Faida moja wapo ya ufugaji wa kuku ni kuuza mayai
Mwanza ni jiji ninalolipenda sana kuliko mengineKadhalilishwa sana mwanamke Yule aliyefumaniwa Na mmewe mwanajeshi huko mwanza
Huko kuna raha baby nani yupo villa parkMwanza unatafuta nini huko
Mkondo wake mto ule unaelekea makazi ya watuKadhalilishwa, kama hivyo basi sheria ichukue mkondo wake
Villa park ni sehemu maarafu sana MwanzaHuko kuna raha baby nani yupo villa park
Mtu wa kale nyayo zake zilionekana bonde la NgorongoroMkuu hahaha beach part imeishia pale umekutana na Ukhuty halafu hukuamini namna mtoto anavyo waka mtoto mrembo ukabaki mdomo wazi ukasema oh my God kwanini nilichelewa kukutana na Ukhuty, mara tukatokea mimi,black womani, atug na mamaafacebook ukafurahi sana ukaruka sana uku ukiagiza savana baridi kwa kila mtu
Sasa si umfundisheMwanana kabisa pembeni mihogo iliyo kaangwa vizuri kachumbari nyingi pilipiliiiiii kwa mbali huku atug una dekadeka unata kuogelea halafu hujuwi sasa![]()
![]()
![]()
![]()
Mwisho wa uzi huu lazima mshindi apatikaneYapi n madhara ya huu Uzi kutofika mwisho
Mwanza kuna samaki watamu sanaVilla park ni sehemu maarafu sana Mwanza
Binadamu wa leo wavisasi na vita amani imetoweka na upendo ndani ya mioyo yao haipoMayai ni moja ya vyakula vyenye viini lishe muhimu kwa ajili ya afya ya mwili wa binadamu.
Villa park nakula samaki hapa hahaha, nahisi umenipa mgongo hebu jeuka nichekee kama ni wewe nikufuate babyHuko kuna raha baby nani yupo villa park
Baby nipo karibu na mlango kuingilia discoVilla park nakula samaki hapa hahaha, nahisi umenipa mgongo hebu jeuka nichekee kama ni wewe nikufuate baby
Disco mlangoni hapo kuna kelele mimi nipo huku naangalia taarifa ya habari mwandishi lihundi kaachiwa kwa dhamana ni habari iliyowagusa watu wa Arumeru, sasa baby hapo upo na nani, njoo huku tuangalie wote taarifa ya habariBaby nipo karibu na mlango kuingilia disco
Kila mtu mtu kwanza aagizie anachotaka ale na anywe, halafu mtalipa wenyeweMkuu hahaha beach part imeishia pale umekutana na Ukhuty halafu hukuamini namna mtoto anavyo waka mtoto mrembo ukabaki mdomo wazi ukasema oh my God kwanini nilichelewa kukutana na Ukhuty, mara tukatokea mimi,black womani, atug na mamaafacebook ukafurahi sana ukaruka sana uku ukiagiza savana baridi kwa kila mtu
Tunaenda na mwenzangu kila weekend disco kuruka debeDisko nalisikia tu