Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Neema zake Mwenyezi Mungu hakika ni za huruma na upendo mkuu sana kwetu wanadamu bila kuangalia madhaifu yetuMungu hakika ndiye afanikishaye yote, si kwa juhudi zetu bali kwa neema zake.
Neema zake Mwenyezi Mungu hakika ni za huruma na upendo mkuu sana kwetu wanadamu bila kuangalia madhaifu yetuMungu hakika ndiye afanikishaye yote, si kwa juhudi zetu bali kwa neema zake.
Mafaniko hupatikana kwa juhudi na maarifaZake juhudi ndo zilizompa mafanikio
Mungu ni mwema ukhutySiku ya Leo namshukuru MUNGU
Maarifa yangu kwenye hilo tukio yameishia hapo, nikiongeza chumvi zaidi itakuwa ni uongo sasaMafaniko hupatikana kwa juhudi na maarifa
Maarifa yangu kwenye hilo tukio yameishia hapo, nikiongeza chumvi zaidi itakuwa ni uongo sasa
Unagharamikiwa bila kuomba ohh hiyo ilikuwa ni enzi za jakaya mrisho, sahivi tupo kwenye nyakati nyingine kabisa, usipo kumbuka na kukumbushia nami najikuta nimesahauBaby ngoja niandae kabisa mtu siwewe bila kuomba unagharamikiwa
Kesho! Kesho! Kidali po kalale nachoSasa ! sasa ! Saa ya kwenda kwetu, kwaheri Mwalimu kwaheri Tutaonana kesho
Gharama gani ambazo zitatushinda, mwaka mpya tutaukaribisha pamoja hakuna namna unikimbie.. Mwaka 2017 tutauona wote wakati huo tukipanga matarajio yetu ya mwaka mpyaMwaka mpya lazima tuonane hata kwa gharama gani
Nimesahau ile stori niliishia wapi, nilishafikia kwenye kuktana nae beach, au nimeshia wapi nikumbushe mkuuUnagharamikiwa bila kuomba ohh hiyo ilikuwa ni enzi za jakaya mrisho, sahivi tupo kwenye nyakati nyingine kabisa, usipo kumbuka na kukumbushia nami najikuta nimesahau
Ukhuty nimemuacha nyumbani kwa shangaziMungu ni mwema ukhuty
Mwaka mpya na mambo mapyaGharama gani ambazo zitatushinda, mwaka mpya tutaukaribisha pamoja hakuna namna unikimbie.. Mwaka 2017 tutauona wote wakati huo tukipanga matarajio yetu ya mwaka mpya
Bure tumsamehe hajuwi mapenzi ya Romeo and JulietteMkuu baby yangu mwambie wivu ni kidonda atakonda bure
Sasa mambo hayaendi kama yalivyopangwaMaarifa yangu kwenye hilo tukio yameishia hapo, nikiongeza chumvi zaidi itakuwa ni uongo sasa
Tutaonana kesho friday siku ya mangoma motoSasa ! sasa ! Saa ya kwenda kwetu, kwaheri Mwalimu kwaheri Tutaonana kesho
Nimesahau kukutumia budgetUnagharamikiwa bila kuomba ohh hiyo ilikuwa ni enzi za jakaya mrisho, sahivi tupo kwenye nyakati nyingine kabisa, usipo kumbuka na kukumbushia nami najikuta nimesahau
Shangazi yangu mkali kweli ulikuwa ukirudi kutoka shule lazina aangalie mudaUkhuty nimemuacha nyumbani kwa shangazi
Mwaka mpya na mambo mapyaGharama gani ambazo zitatushinda, mwaka mpya tutaukaribisha pamoja hakuna namna unikimbie.. Mwaka 2017 tutauona wote wakati huo tukipanga matarajio yetu ya mwaka mpya
Romeo & Juliet movie ilikuwa nzuri leonard anafanya vizuri kwenye nafasi yakeBure tumsamehe hajuwi mapenzi ya Romeo and Juliette
Yake matatizo n makubwaRomeo & Juliet movie ilikuwa nzuri leonard anafanya vizuri kwenye nafasi yake