Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Nimesahau ile stori niliishia wapi, nilishafikia kwenye kuktana nae beach, au nimeshia wapi nikumbushe mkuu
Mkuu hahaha beach part imeishia pale umekutana na Ukhuty halafu hukuamini namna mtoto anavyo waka mtoto mrembo ukabaki mdomo wazi ukasema oh my God kwanini nilichelewa kukutana na Ukhuty, mara tukatokea mimi,black womani, atug na mamaafacebook ukafurahi sana ukaruka sana uku ukiagiza savana baridi kwa kila mtu
 
Ufukweni kuna upepo mwanana
Mwanana kabisa pembeni mihogo iliyo kaangwa vizuri kachumbari nyingi pilipiliiiiii kwa mbali huku atug una dekadeka unata kuogelea halafu hujuwi sasa [emoji31] [emoji31] [emoji13] [emoji13]
 
Mwanana kabisa pembeni mihogo iliyo kaangwa vizuri kachumbari nyingi pilipiliiiiii kwa mbali huku atug una dekadeka unata kuogelea halafu hujuwi sasa [emoji31] [emoji31] [emoji13] [emoji13]
Sasa si ndo utanifundisha
 
Back
Top Bottom