Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Umepata mwaliko wa mwaka mpya kwa kuleta seneneMbili tu umepata
Umepata mwaliko wa mwaka mpya kwa kuleta seneneMbili tu umepata
Senene wanapatikana kwa wingi bukobaUmepata mwaliko wa mwaka mpya kwa kuleta senene
Bukoba ndo kwetuSenene wanapatikana kwa wingi bukoba
Pande gani okey uvinza is a district found in kigoma Tanzania chumvi chumvi ukitaka agizaUvinza ipo pande gani
Talaka ya chap chap, labda aende kwa kalimanzilaShingo upande utatoa talaka
Matumizi yako ya mwezi sh ngapi ili nikutumie usianze oh baby mchele umeisha og baby gas imekata oh baby dagaa nao sijuwi nini, taja bajet ya mwezi nitoe fedha babyNdoo ni gharama sana kwa usawa huu wa kubana matumizi
Senene wataua deal letu we shauri yako, wakiletwa tu ujuwe mimi na wewe tutaonana mwaka mpyaUmepata mwaliko wa mwaka mpya kwa kuleta senene
Baby wa wapi huyo mzee tu!Matumizi yako ya mwezi sh ngapi ili nikutumie usianze oh baby mchele umeisha og baby gas imekata oh baby dagaa nao sijuwi nini, taja bajet ya mwezi nitoe fedha baby
baby wangu kanitosa sijampa zawadi ya x massMatumizi yako ya mwezi sh ngapi ili nikutumie usianze oh baby mchele umeisha og baby gas imekata oh baby dagaa nao sijuwi nini, taja bajet ya mwezi nitoe fedha baby
Mzee tu nalijuwa hilo ila nimeridhika na life style yetu acha wivu mkuuBaby wa wapi huyo mzee tu!
X mass ni siku so special unahitaji kuwa na moyo wa kutoa, mtafutie zawadi x mass hii baby wako, nenda pale house of jeans kariakoo mtafutie skinn jeans baby mama apendeze, kutoa sio utajiri mkuubaby wangu kanitosa sijampa zawadi ya x mass
Mkuu upo vizur sana..X mass ni siku so special unahitaji kuwa na moyo wa kutoa, mtafutie zawadi x mass hii baby wako, nenda pale house of jeans kariakoo mtafutie skinn jeans baby mama apendeze, kutoa sio utajiri mkuu
Sana mkuu kutoa sio utajiri, kwa jeans ya baby mama aende akamchagulie kitu kimkae baby amfanye mpya kila sikuMkuu upo vizur sana..
Mungu hakika ndiye afanikishaye yote, si kwa juhudi zetu bali kwa neema zake.Siku ya Leo namshukuru MUNGU
Baby ngoja niandae kabisa mtu siwewe bila kuomba unagharamikiwaMatumizi yako ya mwezi sh ngapi ili nikutumie usianze oh baby mchele umeisha og baby gas imekata oh baby dagaa nao sijuwi nini, taja bajet ya mwezi nitoe fedha baby
Mwaka mpya lazima tuonane hata kwa gharama ganiSenene wataua deal letu we shauri yako, wakiletwa tu ujuwe mimi na wewe tutaonana mwaka mpya
Mzee tu anawezwa kuitwa majina kibao ilimaradi wallet inazungumzaBaby wa wapi huyo mzee tu!
Mkuu baby yangu mwambie wivu ni kidonda atakonda bureMzee tu nalijuwa hilo ila nimeridhika na life style yetu acha wivu mkuu