Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,710
- 51,061
Zako ama zangu nikikubamba basi ntakupa......Kuyalipa ni muhimu hata kupitia akiba ulioacha au ndugu zako
Zako ama zangu nikikubamba basi ntakupa......Kuyalipa ni muhimu hata kupitia akiba ulioacha au ndugu zako
Ntakupa bila kinyongoZako ama zangu nikikubamba basi ntakupa......
Hahaa toxic9 mie keRahaa ehh atug, hivi atug wewe ni me au ke
Mwaliko wa nini unataka
Nikualike siku ya Christmasi tukale bata......Unataka nikualike
Kwanza upo tayari kwa mwaliko?Sana sana naweza kufika mapema kabla ya wegeni wengine nifaidi wa kwanza
Kinyongo cha nini sheshe, ishi Bila kinyongo uishi miaka mingi na heri dunianiNtakupa bila kinyongo
Nikualike siku ya Christmasi tukale bata......
Ke ahhhhh acha, wewe atug kumbe wewe ni ke full, basi naomba mwaliko wa kuwa mgeni wako sikukuu hii.Hahaa toxic9 mie ke
Maji taka yamesababisha magonjwa ya cholera kusambaa !!!Bata mzinga au bata maji?
Maji mengi rahaa kuogeleaBata mzinga au bata maji?
Sikuku hii utakuwa wapiKe ahhhhh acha, wewe atug kumbe wewe ni ke full, basi naomba mwaliko wa kuwa mgeni wako sikukuu hii.
Kuogelea na vinguo vyenu vile bikiniMaji mengi rahaa kuogelea
huwa mnatutia majaribuniKuogelea kunahitaji ukakamavu na kujitosa....Maji mengi rahaa kuogelea
Majaribuni hahahaaa mwajitia nyie wenyewe kwa mawazo yenu mnayowaza mkionaKuogelea na vinguo vyenu vile bikinihuwa mnatutia majaribuni

Kuogelea unaweza lakini, usije kuwa kama jiweMaji mengi rahaa kuogelea
Jiwe la pembeni,kuogelea hata sijui naishiaga kuchezea maji na kuwa mtazamaji.. But i like swimming nitatafuta trainerKuogelea unaweza lakini, usije kuwa kama jiwe
Trainer nipo apa una sh ngalo?Jiwe la pembeni,kuogelea hata sijui naishiaga kuchezea maji na kuwa mtazamaji.. But like swimming nitatafuta trainer
Sh ngapi unafanya hiyo trainingTrainer nipo apa una sh ngalo?