Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Kufahamu kila kitu ikiwezekanaNini unapenda kufaham
Kufahamu kila kitu ikiwezekanaNini unapenda kufaham
Ikiwezakana kama vipi vitajeKufahamu kila kitu ikiwezekana
Vitaje wewe sasa, we si ndio unavyoIkiwezakana kama vipi vitaje
Unavyo unavovitaka Na nimechoka naona mna mpango wa kunikeshesha Na popoVitaje wewe sasa, we si ndio unavyo
Nakaribia mbali na mimi nimefika mkwaja, ushongo, kimang'a, kirare, machui, mwambani mpaka mwahakoNguvumali kuna ikulu tanga nimeitembea sana sana nimetembea kuanzia kipumbwi Sakura mwera mbweni Pagani kigombe mapojoni geza marungu tongoni Yan nakaribia kuimaliza
Shetani amenirubuni nimelifanya kosa kwa bahati mbayaNimeshinda jaribu la shetani
Shetani amenirubuni nimelifanya kosa kwa bahati mbayaNimeshinda jaribu la shetani
Mbege tamu sana kama pepsi na co cacolaUlezi hutengeneza pombe Aina ya mbege
Unavyo unavovitaka Na nimechoka naona mna mpango wa kunikeshesha Na popo
Cocacola na Mbege, hii mpya mpwaMbege tamu sana kama pepsi na co cacola
Juice ya penshen tamu pia kama ya nanasi na machungwaUkwaju naupenda ukitengenezwa juice
Mwahako? U can't be serious Sasa unakaribia home kama ungesogea kidogo nimeitembea tanga had sielewi ukija kwingine nimefika maramba pande gombero unatokomea huko lugongo ndan ndan had mnazi national park then unarud nimefika duga maforoni horohoro nikavuka Na border kabisaaaa vanga mombasaNakaribia mbali na mimi nimefika mkwaja, ushongo, kimang'a, kirare, machui, mwambani mpaka mwahako
Mbaya kurudia hilo kosaShetani amenirubuni nimelifanya kosa kwa bahati mbaya
Hapa unaanza kunichekesha na mimiSasa unachekesha ad nimepaliwa hapa
Coca cola situmiiMbege tamu sana kama pepsi na co cacola
Unaeleweka Na wewePopo haeleweki ndege au mnyama, wewe unaeleweka?
Unaeleweka kama ulichosema kina tijaPopo haeleweki ndege au mnyama, wewe unaeleweka?
Machungwa ya kule Michungwani wanayaivisha Na motoJuice ya penshen tamu pia kama ya nanasi na machungwa
Tija lazima iwepo kwenye nilichokisemaUnaeleweka kama ulichosema kina tija
Mimi nimechoka jamaniiiHapa unaanza kunichekesha na mimi