Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Mwali huyo, si unaona anajitahidi kuficha usoAibu tena?? Umekuwa mwali
Mwali huyo, si unaona anajitahidi kuficha usoAibu tena?? Umekuwa mwali
Nguvumali kuna ikulu tanga nimeitembea sana sana nimetembea kuanzia kipumbwi Sakura mwera mbweni Pagani kigombe mapojoni geza marungu tongoni Yan nakaribia kuimalizaMie napajua pongwe, kichangani, majani mapana mpaka nguvumali
Maini matamu bwana asikwambie mtu hasa ikitengenezwa rostiMkristu Na mwislam wote huabudu Mungu mmoja tatizo itikadi tu Na muhim kuelewana mapungufu ya 50yrs hayo s mapungufu kwani ngo'ombe anazeeka maini
Ulezi hutengeneza pombe Aina ya mbegeNini zaidi ya mihogo, kwa mimi mkulima mdogo ninaimani na muhogo, mahindi na ulezi
Mengi na Bakhresa nani tajiri zaidiSumu, kunywa maziwa au maji mengi
Ice cream za shs 100 zile tunaita ashkirimu ni tamu sana, upate za maziwa au za ukwajuChocolate sipendi napenda ice cream
Kilimanjaro ndiko nimesoma msingi had secondary nilisomea mawenzi secondary enzi hizo nikahamia majengoMie nimebaki mdomo wazi kwa kusikia umezaliwa Kilimanjaro
Shetani alikujaribu kwenye nini?Nimeshinda jaribu la shetani
Vina vyako naviaminiaMakini kiusanii unachana mistari yenye vina
Uso wangu umeumbwa Na hayaMwali huyo, si unaona anajitahidi kuficha uso
Mejengo mengi ya Zanzibar yamebanana sanaKilimanjaro ndiko nimesoma msingi had secondary nilisomea mawenzi secondary enzi hizo nikahamia majengo
Hivyo basi inamaana wewe ni sawa na mwanangu wa mwisho, mimi nina wajukuu sasaMkuu usiwe unapenda kunikomaza hivyo
Rost lenyewe lipate mpishi adhim Mwenye akili timamMaini matamu bwana asikwambie mtu hasa ikitengenezwa rosti
Uso wangu umeumbwa Na haya
Ukwaju naupenda ukitengenezwa juiceIce cream za shs 100 zile tunaita ashkirimu ni tamu sana, upate za maziwa au za ukwaju
Nini unapenda kufahamShetani alikujaribu kwenye nini?
Chumvi ina faida nyingi sana kwa mwanadamu ila ni chumvi iliyopikwa sio table salt,Bahari ya maji matamu ipo shamu sijui kweli, mimi nimezoea bahari ni maji ya chumvi
Sana nashukuru kunikumbusha Na Zanzibar nimefika haswa hapo stone townMejengo mengi ya Zanzibar yamebanana sana
Sasa unachekesha ad nimepaliwa hapaHivyo basi inamaana wewe ni sawa na mwanangu wa mwisho, mimi nina wajukuu sasa