supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Imesingiziwa utamu wa pipi na chokletiTam n halua tende imesingiziwa
Imesingiziwa utamu wa pipi na chokletiTam n halua tende imesingiziwa
Kimakosa Kwa nini isainiwe hamkua makiniI
imeshasainiwa kweli, lakini kimakosa
Simu yako ninayo, njoo uikomboeNimeibiwa simu
Imeshasainiwa lakini inaweza kuvunjwaKumnyang'anya nini Na mikataba imeshasainiwa
Aibu ya nini mtu mzima wewe, si umefikisha miaka 35 mkuuNje naona aibu
Shilawadu maana yake nini?kumbukumbu zangu zinaniambia wewe n Bonge la shilawadu
Mkristu wa kweli au wa Facebook?Mapungufu yangu mimi nakaribia utu uzima 50yrs na ni mkristu
Aibu tena?? Umekuwa mwaliNje naona aibu
Mkristu Na mwislam wote huabudu Mungu mmoja tatizo itikadi tu Na muhim kuelewana mapungufu ya 50yrs hayo s mapungufu kwani ngo'ombe anazeeka mainiMapungufu yangu mimi nakaribia utu uzima 50yrs na ni mkristu
Mie napajua pongwe, kichangani, majani mapana mpaka nguvumaliYote ulitembelea lini ajabu nimezaliwa Kilimanjaro mdigo Mie
Chocolate sipendi napenda ice creamImesingiziwa utamu wa pipi na chokleti
Nini zaidi ya mihogo, kwa mimi mkulima mdogo ninaimani na muhogo, mahindi na uleziHeka unataka kulima nini
Uikomboe kisha nikupatieSimu yako ninayo, njoo uikomboe
Kuvunjwa Kwa mkataba itatugharim but tunaongelea mikataba ganiImeshasainiwa lakini inaweza kuvunjwa
Sumu, kunywa maziwa au maji mengiChumvi ni kiungo muhimu sana lakini ukiitumia vibaya inakuwa sumu
Mkuu usiwe unapenda kunikomaza hivyoAibu ya nini mtu mzima wewe, si umefikisha miaka 35 mkuu
Nini zaidi ya shirika la wambea dunianiShilawadu maana yake nini?
Mie nimebaki mdomo wazi kwa kusikia umezaliwa KilimanjaroYote ulitembelea lini ajabu nimezaliwa Kilimanjaro mdigo Mie
Mwali ndioAibu tena?? Umekuwa mwali
Makini kiusanii unachana mistari yenye vinaKimakosa Kwa nini isainiwe hamkua makini