Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Cacola imenishinda kunywa bora club sodaMbege tamu sana kama pepsi na co cacola
Cacola imenishinda kunywa bora club sodaMbege tamu sana kama pepsi na co cacola
Mombasa kabla sijafika kupitia boda la horohoro nyuma huku manza bay na bantu estate, mjehasani. Baada ya kuvuka boda kupitia ukunda, kuvuka likoni mpaka mwembe tayariMwahako? U can't be serious Sasa unakaribia home kama ungesogea kidogo nimeitembea tanga had sielewi ukija kwingine nimefika maramba pande gombero unatokomea huko lugongo ndan ndan had mnazi national park then unarud nimefika duga maforoni horohoro nikavuka Na border kabisaaaa vanga mombasa
moto wa kawaida au wa kipekee?Machungwa ya kule Michungwani wanayaivisha Na moto
Cacola imenishinda kunywa bora club soda
Soda isyo Na sukari ikoiko tu kama maji n Bora niimwage ninywe Maji safiCacola imenishinda kunywa bora club soda
Tayari unaonesha umetembea sanaaaMombasa kabla sijafika kupitia boda la horohoro nyuma huku manza bay na bantu estate, mjehasani. Baada ya kuvuka boda kupitia ukunda, kuvuka likoni mpaka mwembe tayari
Situmii sigara za kitoto kama sport, sm na embassy. Mimi mtu mzima natumia sigara kali sigara nyotaCoca cola situmii
Situmii chochote chenye Sukari iliyopitilizaCoca cola situmii
Kipekee? Hapana huuhuu wa mkaaaMo
moto wa kawaida au wa kipekee?
Yoyote sawa zingine hazina tasteSoda ni soda tu we kunywa yoyote
Nyota wa leo ni nani humu?Situmii sigara za kitoto kama sport, sm na embassy. Mimi mtu mzima natumia sigara kali sigara nyota
Sigara nyota haieleweki unavutia wapi unawasha wapiSitumii sigara za kitoto kama sport, sm na embassy. Mimi mtu mzima natumia sigara kali sigara nyota
Iliyopitiliza inakeraSitumii chochote chenye Sukari iliyopitiliza
mkaa upo wa aina nyingi maana kuna ule wa maweKipekee? Hapana huuhuu wa mkaaa
Humu hakuishiwi vitukoNyota wa leo ni nani humu?
inakera na ina madharaIliyopitiliza inakera
Mawe makubwa yameanguka huko amboniM
mkaa upo wa aina nyingi maana kuna ule wa mawe
Vituko kamwe haviishi na wewe ndio Kituko zaidiHumu hakuishiwi vituko
Madhara n mengi kuliko yasiyomadharaIna
inakera na ina madhara
Zaidi n mm kumbe bas nalala zanguVituko kamwe haviishi na wewe ndio Kituko zaidi