supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Tija hakuna kama hamna maslahiUnaeleweka kama ulichosema kina tija
Tija hakuna kama hamna maslahiUnaeleweka kama ulichosema kina tija
Maji safi ni salama kwa afya yakoSoda isyo Na sukari ikoiko tu kama maji n Bora niimwage ninywe Maji safi
Moto ukiwa mdogo ongeza kuniMachungwa ya kule Michungwani wanayaivisha Na moto
zangu utazipata ukiamka usiku wa mananeZaidi n mm kumbe bas nalala zangu
Maji safi hayana ladha, unapenda fursanaSoda isyo Na sukari ikoiko tu kama maji n Bora niimwage ninywe Maji safi
yako piaMaji safi ni salama kwa afya yako
Huku hakuna nyota kuna mshindiNyota wa leo ni nani humu?
Sana wapi, mwenzako nazisoma kwenye google map hapaTayari unaonesha umetembea sanaaa
Yako avatar ninaipendaMaji safi ni salama kwa afya yako
Mshindi ni mimi kila mtu anajuaHuku hakuna nyota kuna mshindi
Kuni zenyewe mbichi tutatoka machoziMoto ukiwa mdogo ongeza kuni
Humu nani amepiga sana chenga na kufunga goliNyota wa leo ni nani humu?
Manane n usiku nitakaokua Niko njoziniZ
zangu utazipata ukiamka usiku wa manane
Firearms naipenda haswa ile kubwa so kale kadogoMaji safi hayana ladha, unapenda fursana
Maslahi ya wengi yamedhibitiwa mwendo wa kubana matumiziTija hakuna kama hamna maslahi
Vituko nilivyokuwa nikifanya miaka ya 80, marafiki zangu wakiniona wanacheka sana na kunikumbushiaHumu hakuishiwi vituko
Hapa nacheka kama mwehu umejua kunifanya hamnazoSana wapi, mwenzako nazisoma kwenye google map hapa





Njozini utakuwa na nani sasa?Manane n usiku nitakaokua Niko njozini
Pia naweza kutangaza mshindi leoY
yako pia
Zangu nimezificha nyuma ya kabatiZaidi n mm kumbe bas nalala zangu