sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Tena ukichanganya na nazi inakuwa tamuMita za kufanyia nini tena?
Tena ukichanganya na nazi inakuwa tamuMita za kufanyia nini tena?
Mwanaume hapo itabidi achomekee mkanda njeMashati ya mikono mirefu nayapenda akivaa mwanaume
Sifa nazotaka awe mchamungu busara mvumilivu atakayeniheshim Na kunipenda Na mapungufu yanguJukumu jepesi sana hili, unataka awe vipi, white, smiling face, mrefu kiasi, handsome au taja wewe kwa muonekano awe vipi na sifa
Mama yangu eeeeeee, jamani eeeee, nimeibiwaMakusudi sjakufanyia nakujibu ukweli kwetu namuamini mama yangu
Kumnyang'anya nini Na mikataba imeshasainiwaNiliemkabidhi mimi niko mbioni kumnyanganya
Kaka ukituchungulia kwa chabo basi usitu rekodiChabo muhimu kaka
Tam n halua tende imesingiziwaTena ukichanganya na nazi inakuwa tamu
Kunani pale kila kitu Tanga, napapenda tanga naijua karibu yoteUchagani ndiko unakotokea? Karibu tanga kunani
Nje naona aibuMwanaume hapo itabidi achomekee mkanda nje
Nimeibiwa simuMama yangu eeeeeee, jamani eeeee, nimeibiwa
Tena unapima kwa urefu, au kwa hatua zikitimia 70 inakuwa ni hekaMita za kufanyia nini tena?
Yote ulitembelea lini ajabu nimezaliwa Kilimanjaro mdigo MieKunani pale kila kitu Tanga, napapenda tanga naijua karibu yote
Rekodi lazima iwekwe kwa ajili ya kumbukumbuKaka ukituchungulia kwa chabo basi usitu rekodi
Bahari ya maji matamu ipo shamu sijui kweli, mimi nimezoea bahari ni maji ya chumviMita 100 mbele ya ofisi yangu ni bahari
Heka unataka kulima niniTena unapima kwa urefu, au kwa hatua zikitimia 70 inakuwa ni heka
imeshasainiwa kweli, lakini kimakosaKumnyang'anya nini Na mikataba imeshasainiwa
kumbukumbu zangu zinaniambia wewe n Bonge la shilawaduR
Rekodi lazima iwekwe kwa ajili ya kumbukumbu
Mapungufu yangu mimi nakaribia utu uzima 50yrs na ni mkristuSifa nazotaka awe mchamungu busara mvumilivu atakayeniheshim Na kunipenda Na mapungufu yangu
Chumvi ni kiungo muhimu sana lakini ukiitumia vibaya inakuwa sumuBahari ya maji matamu ipo shamu sijui kweli, mimi nimezoea bahari ni maji ya chumvi
Heka moja ina square meter ngapiTena unapima kwa urefu, au kwa hatua zikitimia 70 inakuwa ni heka