mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Lakini hamkubali kushindwaMchana huwa unakula lakini?
Lakini hamkubali kushindwaMchana huwa unakula lakini?
Bumper to bumper, Jino kwa jinoMafumbo? Sina maneno ya kwenye kanga
Kazi juu ya kazi Yan bumper to bumper
Bumper juu ya bumper ina maana ganiMafumbo? Sina maneno ya kwenye kanga
Kazi juu ya kazi Yan bumper to bumper
Jino likiuma unaweza kutamani kufaBumper to bumper, Jino kwa jino
Kushindwa tena?, ahaa wapi!Lakini hamkubali kushindwa
Jino likiuma unaweza kutamani kufa
Gani n nnBumper juu ya bumper ina maana gani
Wapi ntampata mpenzi wa kweliKushindwa tena?, ahaa wapi!
Kufaana n kuzuri kama una nduguyo unamwaminiKufa kufaana,
Unamwamini nani kwenu?Kufaana n kuzuri kama una nduguyo unamwamini
Kweli unataka nikutaftie mimiWapi ntampata mpenzi wa kweli
shida zingine ni za kujitakia kabisaWakutosha uweze kuwapeleka hadi chuo kikuu laa sivyo huko ndio penye shida
Kawaida kama kunywa maji kwenye glassKikubwa? Lipo jukwaa huko chini Lina mambo hayo hapa tunaongea ya kawaida
Unamwamini kwa moyo wote na yeye anakuumiza bila kujali maumivu yakoKufaana n kuzuri kama una nduguyo unamwamini
Kweli unataka nikutaftie mimi
Glass ya kioo au bati?Kawaida kama kunywa maji kwenye glass
Kwenu sikujuiUnamwamini nani kwenu?
Vizuri tu mkuu endelea kufuatilia usituchungulie kwa kupiga chaboMimi nawaangalia na kuwafatilia vizuri tu
Mimi nimeshindwa nakukabudhi wewe hilo jukumuKweli unataka nikutaftie mimi
Yako umeyachunia, unayafatilia ya mwenzioUnamwamini kwa moyo wote na yeye anakuumiza bila kujali maumivu yako