supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Maarufu sana hadi huku kwetu mtaaniFaru john kawa maarufu sana
Maarufu sana hadi huku kwetu mtaaniFaru john kawa maarufu sana
Mimi nakupenda kama kaka yangu wa kufikia je uko tayari?John zuri, pia unaweza kumuita michael kama jina langu mimi
shida ni usipo pambana.ntakula ata nyasi cha muhimu watoto wapate elimu boraWakutosha uweze kuwapeleka hadi chuo kikuu laa sivyo huko ndio penye shida
Linachukiwa jambo baya kulifanya Kwa watujohn kakaza kila mahali mpaka jina lake linachukiwa
Tayar nimeshindaMimi nakupenda kama kaka yangu wa kufikia je uko tayari?
Shida n jina baya kumpatia mtoto kwani jina huakisi maisha yake yote Na Kua Na Shida tupuWakutosha uweze kuwapeleka hadi chuo kikuu laa sivyo huko ndio penye shida
Bora Kioindi cha JK, mambo yalikuwa safi sanashida ni usipo pambana.ntakula ata nyasi cha muhimu watoto wapate elimu bora
watu wengine sijui tuna damu za NguniLinachukiwa jambo baya kulifanya Kwa watu
Mbaya mchezo umeujuaje kama hukuufanyaHilo jepesi kulijadili kwa mtu bikra kama mimi ambae sijawahi kufanya mchezo mbaya
Tupu?, mbona mnaongea mambo ya kikubwa?Shida n jina baya kumpatia mtoto kwani jina huakisi maisha yake yote Na Kua Na Shida tupu
Mtaani hakukaliki by the way nalala zangu sitaki kukesha Na popo kama janaMaarufu sana hadi huku kwetu mtaani
Nimeshinda mie buanahTayar nimeshinda
Nguni ulikuwa unamaanisha Kunguni?watu wengine sijui tuna damu za Nguni
Nguni tena Kwa niniwatu wengine sijui tuna damu za Nguni
Kikubwa? Lipo jukwaa huko chini Lina mambo hayo hapa tunaongea ya kawaidaTupu?, mbona mnaongea mambo ya kikubwa?
Kawaida gani hiyo ya mafumbo?Kikubwa? Lipo jukwaa huko chini Lina mambo hayo hapa tunaongea ya kawaida
Mchana jua linawaka kama motoHua natamani kusikuche mapema kwa jinsi navyotabika kutafuta pesa mchana
Mchana huwa unakula lakini?Hua natamani kusikuche mapema kwa jinsi navyotabika kutafuta pesa mchana
Mafumbo? Sina maneno ya kwenye kangaKawaida gani hiyo ya mafumbo?