zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,604
kulea kaziWazazi wa kidigitali hawajui kulea
kulea kaziWazazi wa kidigitali hawajui kulea
Maneno maneno sina maneno ya kwenye khanga.Sana n Aina gan ya maneno
Maana ya maneno mengine ni utata mtupuZimezidi kwa maana ya
Kazi zenyewe za kulea wameachiwa mahouse girl!kulea kazi
Kulea kazi kama utataka kuiga maisha ya wenginekulea kazi
Oyeeee TZ ila faru john katoweka katika mazingira tataNgorongoro, manyara na mikumi oooh Tanzania oyeeeee
wengine tunapenda watoto sana.mkuu kasema tufyetue tu wakutoshaKulea kazi kama utataka kuiga maisha ya wengine
Kuchakachuliwa kabla ya ndoa sio vizuri jamanii blaki womaniOyeeee Tanzania kwa kuwa na amani ambayo inataka kuchakachuliwa
Faru john kawa maarufu sanangongoro twendeni tukatembee kule .tuone na watoto wa faru john
Watoto unampatia jina gani kwa mfano, kwanini john ni jina baya kwakoJohn majina kama haya s ya kuwapa watoto
Kwani hao wachakachuaji ni wanyama au hao hao wanaume wanaolalamika kuwakuta wanawake hawana bikira wakati wao wenyeww sio bikira tujadili hiloKuchakachuliwa kabla ya ndoa sio vizuri jamanii blaki womani
Kwako n zuri? Au nawe waitwa John?Watoto unampatia jina gani kwa mfano, kwanini john ni jina baya kwako
Kwako unaweza jifunza mambo muhimu kuhusiana na zika inayotishia maisha ya watotoWatoto unampatia jina gani kwa mfano, kwanini john ni jina baya kwako
Girl n singular Na girls n pluralKazi zenyewe za kulea wameachiwa mahouse girl!
Kanga nyepesi zina kazi yakeManeno maneno sina maneno ya kwenye khanga.
John zuri, pia unaweza kumuita michael kama jina langu mimiKwako n zuri? Au nawe waitwa John?
Watoto kuwapata imekua mtihaniKwako unaweza jifunza mambo muhimu kuhusiana na zika inayotishia maisha ya watoto
Wakutosha uweze kuwapeleka hadi chuo kikuu laa sivyo huko ndio penye shidawengine tunapenda watoto sana.mkuu kasema tufyetue tu wakutosha
john kakaza kila mahali mpaka jina lake linachukiwaKwako n zuri? Au nawe waitwa John?
Hilo jepesi kulijadili kwa mtu bikra kama mimi ambae sijawahi kufanya mchezo mbayaKwani hao wachakachuaji ni wanyama au hao hao wanaume wanaolalamika kuwakuta wanawake hawana bikira wakati wao wenyeww sio bikira tujadili hilo