Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Mwisho wa hii thread mie ndio nitakuwa mshindiMakubwa kwan huniachi nikawa wa mwisho
Mwisho wa hii thread mie ndio nitakuwa mshindiMakubwa kwan huniachi nikawa wa mwisho
Nyuma yako natafuta niniWamwisho nimimi ambae nipo nyuma yako
Tanzania nchi ya kusadikikaMshindi ni yule anayesema kwamba Virus vya Zika havipo Tanzania
Kusadikika ilikuwa vitabu vya abunuasiTanzania nchi ya kusadikika
Abunuasi Na story za alfu ulela ulelaKusadikika ilikuwa vitabu vya abunuasi
Ajabu viumbe wa Sasa dhambi zimezidiAbunuasi na ndoto zake za ajabu
Alfu ulela ulela ilikuwa kitabu kizuri sanaAbunuasi Na story za alfu ulela ulela
Sana n Aina gan ya manenoAlfu ulela ulela ilikuwa kitabu kizuri sana
Ajabu ya maajabu ya bonde la NgorongoroAbunuasi na ndoto zake za ajabu
Ngorongoro, manyara na mikumi oooh Tanzania oyeeeeeAjabu ya maajabu ya bonde la Ngorongoro
Oyeeee Tanzania kwa kuwa na amani ambayo inataka kuchakachuliwaNgorongoro, manyara na mikumi oooh Tanzania oyeeeee
ngongoro twendeni tukatembee kule .tuone na watoto wa faru johnAjabu ya maajabu ya bonde la Ngorongoro
John majina kama haya s ya kuwapa watotongongoro twendeni tukatembee kule .tuone na watoto wa faru john
kuchakachuliwa siku hizi ata bikra zinachakachuliwa..tabu sanaOyeeee Tanzania kwa kuwa na amani ambayo inataka kuchakachuliwa
watoto wanaitaji kupata malezi mazuri kutoka kwa wazaziJohn majina kama haya s ya kuwapa watoto
Wazazi wa kidigitali hawajui kuleawatoto wanaitaji kupata malezi mazuri kutoka kwa wazazi
Abunuasi alikuwa mtu mkuda sana,Kusadikika ilikuwa vitabu vya abunuasi
Zimezidi kwa maana yaAjabu viumbe wa Sasa dhambi zimezidi