Khalidoun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,842
- 4,474
Kihalali me ndio mshindi wenu
Wenu mshindi nipo hapa tuli nimetulia
Kihalali me ndio mshindi wenu
Nimetulia mwenyewe Sina paparaWenu mshindi nipo hapa tuli nimetulia
6*6 ukiitumia vizuri inaweza kudumisha ndoaPapara kwenye 6*6!?
Kuendesha ndoa ikasimama inataka kujitoa kimwili Na kifikraNdoa sio baiskeli kila mtu anaweza kuendesha
Kuendesha kwa maana gani?, msalaani kila dakika?Ndoa sio baiskeli kila mtu anaweza kuendesha
Kila dakika wiki hii nakumbuma matukio mawilo Maxence na BenKuendesha kwa maana gani?, msalaani kila dakika?
Mkuu unataka maana gani adadavue hapaKuendesha kunamaana nyingi mkuu
Ben saanane hajapatikana badoKila dakika wiki hii nakumbuma matukio mawilo Maxence na Ben
Mkuu kwani na wewe unaisi utashinda hii thread!?
Ben saanane hajapatikana bado
Bado inaumiza mioyo ya wengiBen saanane hajapatikana bado
Tofauti ya mwezi wa december na mingine ni kwamba ni mwezi unaohitaji fedha kwa ajili ya matumiziBado na badoo nivitu viwili tofauti
Matumizi ya msimu huu wa sikukuuu yatakua juuTofauti ya mwezi wa december na mingine ni kwamba ni mwezi unaohitaji fedha kwa ajili ya matumizi
Matumizi ya msimu huu wa sikukuuu yatakua juu
Makubwa kwan huniachi nikawa wa mwishoJuu tunayapeleka wenyewe kwa kutaka mambo makubwa
Makubwa kwan huniachi nikawa wa mwisho