Bado nipo nipo kama mwana FAKulala sasa mi bado maana nililala toka SAA kumi na moja mpaka SAA tatu kwaiyo mi bado
Huko kwenu mpo nyuma kwa saa 1 tumewapita sisiBado kwetu saa nne jamn kwenu saa ngapi huko
Huko ambapo unasema wewe mbona hatujapishanaBado kwetu saa nne jamn kwenu saa ngapi huko
Mwana fa katisha sana kwenye dume suruali sijui alikuwa anawaza niniBado nipo nipo kama mwana FA
Ngapi ngapi premier league hukoNini kwetu saa tano kamili sas kwenu saa ngapi
zote shokishok tatu zililetwa na Juma kwa MerikebuHuko bila bila mechi zote
Humu wote hamjambo?Wapi nilikuepo sijuh nimekuruka tu najikuta humu
Humu upo sehemu salama, haya nawa uso unywe chaiWapi nilikuepo sijuh nimekuruka tu najikuta humu
chai itanyweka baadaye kidogo huu muda wa kuweka mambo sawa.Humu upo sehemu salama, haya nawa uso unywe chai
Afande kafumaniaSawa nimekuelewa afande
Kafumania mali yake inaibiwa kwa siriAfande kafumania
Siri ni kifichoKafumania mali yake inaibiwa kwa siri
Kificho cha fedha ndani ya sanduku.....Siri ni kificho
Sanduku gani? Kwani benki si zipo?Kificho cha fedha ndani ya sanduku.....