supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Jamani supermarket karibu zote zinauzwa asali za bibi..sokoni zipo zile asali ambazo juu wanaweka nyuki mmoja zionekane bora kutoka kwenye mzinga ni safiAsali Original zinauzwa wapi natafuta jamani