Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Zipo wapi zile bangili za dhahabu......Sanduku gani? Kwani benki si zipo?
Zipo wapi zile bangili za dhahabu......Sanduku gani? Kwani benki si zipo?
Dhahabu ya Tanzania au ya nchi nyingine?Zipo wapi zile bangili za dhahabu......
Dhahabu hupatikana kwa wingi KahamaZipo wapi zile bangili za dhahabu......
Kahama ipo Shinyanga?Dhahabu hupatikana kwa wingi Kahama
Shinyanga sijawahi kufika mpaka sasaKahama ipo Shinyanga?
Shinyanga sijawahi kufika mpaka sasa
Kufika nitafika ila sio kwa sasasasa muda wote unasubiri nini unashindwa kufika
Shughuli zao ni mama ntilie, wauza mchicha, walinzi, wakulima, wavuvi, wauza karanga na wamachingaWote wanaochangia uzi huu nina wasiwasi na shughuli zao
Sasa kuna foleni, usichoke kunisubiri mkuuKufika nitafika ila sio kwa sasa
Shughuli zao ni mama ntilie, wauza mchicha, walinzi, wakulima, wavuvi, wauza karanga na wamachinga
Sasa kuna foleni, usichoke kunisubiri mkuu
Mkuu nitakusubiri ila itabidi uchepuke ili niwahi majukumuSasa kuna foleni, usichoke kunisubiri mkuu
Barabara zimezagaa bidhaa mpaka hamna pa kupitawamashinga wameruhusiwa kuuza bidhaa zao hata katikati ya barabara
Wilaya yetu imebarikiwa kuwa na maji safi na pia kuna ardhi nzuri na matundamkuu wa nchi anateuwa wakuu wa mikoa na wilaya
Wilaya yangu ina mkuu wa Wilaya anayejitambuamkuu wa nchi anateuwa wakuu wa mikoa na wilaya
Kupita mbele kwenye kundi la watu wanaokuangalia kunahitaji ujasiri sana, unaweza kujikwaaBarabara zimezagaa bidhaa mpaka hamna pa kupita
Matunda ni muhimu kwa afya zetuWilaya yetu imebarikiwa kuwa na maji safi na pia kuna ardhi nzuri na matunda
Kupita mbele kwenye kundi la watu wanaokuangalia kunahitaji ujasiri sana, unaweza kujikwaa
Kujikwaa ni lazima sababu ya woga na aibuKupita mbele kwenye kundi la watu wanaokuangalia kunahitaji ujasiri sana, unaweza kujikwaa