Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Matunda ni muhimu kwa afya zetu
afya zetu inatakiwa kuchekiwa mara kwa mara
Matunda ni muhimu kwa afya zetu
Kiatu kikikubana mpe mdogo wako, using'ang'anie kukivaa au kukiweka ndani kama pambokujikwaa kwenye kidole gumba inauma hadi uwezi kuvaa kiatu
Kujikwaa ni lazima sababu ya woga na aibu
Kiatu kikikubana mpe mdogo wako, using'ang'anie kukivaa au kukiweka ndani kama pambo
Pambo gani la viatuKiatu kikikubana mpe mdogo wako, using'ang'anie kukivaa au kukiweka ndani kama pambo
Nini sasa, we kupita mbele ya kadamnasi mchezooaibu ya nini
Kipindi hiki cha christmass vizuri ujumuike na familia mkoanipambo la Christmas linapendeza sana kipindi hiki
Mkoani lazma niendeKipindi hiki cha christmass vizuri ujumuike na familia mkoani
Viatu ili ving'ae vipake kiwi au mafuta ya naziPambo gani la viatu
Kipindi hiki cha christmass vizuri ujumuike na familia mkoani
Viatu ili ving'ae vipake kiwi au mafuta ya nazi
Niende nikakutane na ndugu zangu tufurahie wote skukuuMkoani lazma niende
Chakula chenye mafuta mafuta kina madhara, labda uwe mtu wa mazoezinazi inaniletea shida pale inapowekwa kwenye chaukula
Mazoezi nayapenda mnoChakula chenye mafuta mafuta kina madhara, labda uwe mtu wa mazoezi
Nayapenda mno makande ya nyama ya kuku.Mazoezi nayapenda mno
Kukuona, kukuambia, kukusikiliza kwenye redioNayapenda mno makande ya nyama ya kuku.
Redio za kisasa hazina idhaa za habari na muhtasari wa habari....!!Kukuona, kukuambia, kukusikiliza kwenye redio
Mukhtasari wa Habari ni habar kwa kifupi ila idhaa ya habar ni nn?Redio za kisasa hazina idhaa za habari na muhtasari wa habari....!!
Habari ya saa2 ndo haswaaa unaangalia huku umetulia nyumbaniRedio za kisasa hazina idhaa za habari na muhtasari wa habari....!!