Jmn shokshok ni nn
mbili shokshok zinatosha.
Mkuu shok shok ni nini kwani!?
Mimi rafiki yangu akija kutoka zanzibar namwambia aniletee matunda ya shok shok, ni matamuNini Aisha kumbe na ww haujuh kama mimi
Come, go, out, a teacher, I am a pupil, nimekumbuka shuleKweli ni shukaa wa nchi hii me nampenda kutoka moyoni analinda kile kitakachotufaisha few years to come
Jamani leo kama vipi tusilale humuZinatosha basi tulaleni jamani

matamu mashokshok ukitaka kuyapata njoo maeneo ya mtaa wa kisutu, zanaki na msikiti wa kitumbini.Mimi rafiki yangu akija kutoka zanzibar namwambia aniletee matunda ya shok shok, ni matamu
View attachment 446262
View attachment 446261
Tulale wapi?Jamani leo kama vipi tusilale humu![]()
Humu ndo pazuri coz hamna mbuJamani leo kama vipi tusilale humu![]()
Mimi rafiki yangu akija kutoka zanzibar namwambia aniletee matunda ya shok shok, ni matamu
View attachment 446262
View attachment 446261
Yana sura nzuri kama mauaNayakumbuka mimi kipindi tupo shule ndo bustaniMaua ya saa nne mnayakumbuka
Msikiti wa kitumbini, zanaki na kisutu umenikumbusha kweli mkuu yapo piamatamu mashokshok ukitaka kuyapata njoo maeneo ya mtaa wa kisutu, zanaki na msikiti wa kitumbini.
mnayakumbuka maneno ya jk kuwa mnataka mtu mkali sasa mtapata na tumempata kweli kweli.Maua ya saa nne mnayakumbuka
pia maeneo ya msikiti wa manyema utayapata mashokshok.Msikiti wa kitumbini, zanaki na kisutu umenikumbusha kweli mkuu yapo pia