Alcady12
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 449
- 552
Bondeni sasa hivi sio kuzuri yanaweza kutokea mafuriko.Vizuri uende ukaazime mbuzi ya mwanaAsha hapo bodeni......
Bondeni sasa hivi sio kuzuri yanaweza kutokea mafuriko.Vizuri uende ukaazime mbuzi ya mwanaAsha hapo bodeni......
........ ikauke isikauke ni wajibu wetu kuondoka nayoMbichi hiyo rangi iliyopakwa mlangoni subiri ikauke.....
Maua mazuri yapendeza, ukiyatima yana vutia na kunukia harufu nzuri kama waridimetameta tumpambe maua
Nayo imepakwa bila kuzingatia mpangilio wa rangi........ ikauke isikauke ni wajibu wetu kuondoka nayo
Waridi ni mchezoo wa kuigizaMaua mazuri yapendeza, ukiyatima yana vutia na kunukia harufu nzuri kama waridi
Kuigiza katika maisha unapoteza muda, ishi maisha halisiWaridi ni mchezoo wa kuigiza
Halisi unaweza ishi ila kuigiza ni sehemu ya kazi piaKuigiza katika maisha unapoteza muda, ishi maisha halisi
Pia ukiwa makini hakuna atakae kuyumbisha kama ngalawa mtoniHalisi unaweza ishi ila kuigiza ni sehemu ya kazi pia
Balahau maana yake nini?kuigiza mchezo kwataka ujuzi, kama huna ujuzi hutaweza Balahau
Kambi hii hauruhusiwi kupiga picha, by utawalaTu, mlio huu ukisikia hujue upo karibu au ndani ya kambi
Serikali hii sio ya mchezo mchezoUtawala wa magufuli naupenda hakika nchi imekuwa na heshima kiasi chake haswaaa katika maofisi ya selikali
Serikali hii ni ya mwendokasiUtawala wa magufuli naupenda hakika nchi imekuwa na heshima kiasi chake haswaaa katika maofisi ya selikali
Mchezo wa kubet sio mzrSerikali hii sio ya mchezo mchezo
Ukhuty yu wapiMzuri wewe na ukhuty