Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kazi ni kazi mradi mkono uende kinywani..Jembe na nyundo vnafanya kazi![]()
Kazi ni kazi mradi mkono uende kinywani..Jembe na nyundo vnafanya kazi![]()
Kwelikweli una uhakika ndugu, isijekuwa tunamsubiri tu hapa na kupoteza mudaKinywani huo mkono ukienda huko umemenyeka kwelikweli
Muda upi tena nimeshafika jamaniKwelikweli una uhakika ndugu, isijekuwa tunamsubiri tu hapa na kupoteza muda
Jamani umetuweka sana mkuu, tumeuza sana sura hapaMuda upi tena nimeshafika jamani
Hapa ndo nimeshatinga, poleni na majukumuJamani umetuweka sana mkuu, tumeuza sana sura hapa
Majukumu lazima kwa binadamuHapa ndo nimeshatinga, poleni na majukumu
Utotoni mie sitamani, nilikuwa nakosa mengiMajukumu yakikuzidia unatamani urudi utotoni
Binadamu hana jemaMajukumu lazima kwa binadamu
Utotoni nilikuwa napelekwa shule, naletewa zawadi, nanunuliwa nguo na viatu vya skukuuMajukumu yakikuzidia unatamani urudi utotoni
Mengi umenikumbusha, usemi wa wakubwa wanafaidiUtotoni mie sitamani, nilikuwa nakosa mengi
Jema halisahauliki, fadhila zake baadaeBinadamu hana jema
Wanafaidi kukaa bure kwenye nyumba za serikali.Mengi umenikumbusha, usemi wa wakubwa wanafaidi
Wanafaidi haswa, usikubali kurudi utoto mkuuMengi umenikumbusha, usemi wa wakubwa wanafaidi
Serikali hii haitaki ufisadiWanafaidi kukaa bure kwenye nyumba za serikali.
Baadaee ukijashtuka umechelewaJema halisahauliki, fadhila zake baadae
Mkuu kua uyaone alisema mamaWanafaidi haswa, usikubali kurudi utoto mkuu