Hakuna mshindiBaridi mbona huku kwetu hakuna
Hakuna haja ya kupandisha mabegi ghorofani mie naondoka zangu muda huu.....Wazalendo siku hizi hakuna
mwagia maji ulainikeHuu wakati umekuwa mgumu sana kwangu
Ulianike hili busati lipate kukauka kabla ya jioni tupate kukalia.....mwagia maji ulainike
ZZ hupenda kutandika zulia/mkeka/busati au jamvi chini na kukaa kikao cha kula.......Kukalia nini zz
Mbichi hiyo rangi iliyopakwa mlangoni subiri ikauke.....Kula muhogo mbichi
Mchele ni zao lenye mapishi zaidi aina mia moja kwa wale wenye kufahamu mambo ya jikoni..Kuisaga imekuwa mchele