Averos
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 994
- 703
kichat ni moja ya sababu za ufanisi mbovu wa wauza ming'okoWatakukaba ukijipitisha na smartphone yako huku unatembea na kuchat
kichat ni moja ya sababu za ufanisi mbovu wa wauza ming'okoWatakukaba ukijipitisha na smartphone yako huku unatembea na kuchat
Wauze samaki tu? Kwa nini wakati na vingine vinawezekana kuuzwa?wauza ming'oko waache kuuza hiyo kitu wauze samaki tu
Kuuzwa bidhaa ambazo hazijathibitishwa tbs ni fekiWauze samaki tu? Kwa nini wakati na vingine vinawezekana kuuzwa?
feki hasaa, kam hiyo mig'ongo mie hata siifahamu kabisaKuuzwa bidhaa ambazo hazijathibitishwa tbs ni feki
Kabisa huifahamu..!! Hujawahi ishi kusini?feki hasaa, kam hiyo mig'ongo mie hata siifahamu kabisa
Kusini mwa kila nchi duniani umasikni umezagaa..!!Kabisa huifahamu..!! Hujawahi ishi kusini?
Umezagaa kila sehemu japo ni maeneo tajiriKusini mwa kila nchi duniani umasikni umezagaa..!!
Tajiri alipo jenga kiwanda cha mabati......Umezagaa kila sehemu japo ni maeneo tajiri
Mabati gani?Tajiri alipo jenga kiwanda cha mabati......
Mabati ya simba ni mazuri kwa kuezeka paaTajiri alipo jenga kiwanda cha mabati......
Kuezeka paa? Kwani kuna kuezeka kingine zaidi ya paa?Mabati ya simba ni mazuri kwa kuezeka paa
Paa mnyama anafanana kwa mbali na mbuziKuezeka paa? Kwani kuna kuezeka kingine zaidi ya paa?
Upepo mkali aina ya kimbunga unaharibu makazi, mifugo na mazaoPaa la nyumba limeezuliwa na upepo mkali
Vizuri uende ukaazime mbuzi ya mwanaAsha hapo bodeni......Mbuzi yangu haikuni Nazi vizuri
Bondeni kuna uwa zuri lina metametaVizuri uende ukaazime mbuzi ya mwanaAsha hapo bodeni......
metameta tumpambe mauaBondeni kuna uwa zuri lina metameta