supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Mwendo kasi dakika 15 tu umeshafika kariakooSerikali hii ni ya mwendokasi
Mwendo kasi dakika 15 tu umeshafika kariakooSerikali hii ni ya mwendokasi
Ukhuty ameenda nyumbani kwao wamepika ugali na dagaaMzuri wewe na ukhuty
Dagaa wa nyasa ni watamu sanaUkhuty ameenda nyumbani kwao wamepika ugali na dagaa
HalisiKuigiza katika maisha unapoteza muda, ishi maisha halisi
Tu, tu, tutu..tu milio ya risasi ilisikika....Sana sana utaishia kuwaona tu
Sana sana sifa zake ni humu nchini, Huko nje hatambuliki....!!Ilisikika Kw kishindo kikubwa sana
..serikalini hapana manufaa siku hiziHatambuliki hata serikalini
Siku hizi manufaa unajitafitia mwenyewe..serikalini hapana manufaa siku hizi
Yalikukuta yepi mwenzanguMwenyewe yalinikuta
CCM hii yenye nyundo na jembe..!?Sasa kumekuchaa sasa kumekuchaaa CCM

Kazi inafanyika na asiefanya kazi na asile..Jembe na nyundo vnafanya kazi![]()
Asile wakati kula tu ni kaziKazi inafanyika na asiefanya kazi na asile